Ukipata muda nenda manyatta estate pale kisumu halafu unipe majibu inshort nimeishi sana kenya hasa kisumu,kiukweli kenya kuna hali mbaya sana ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja
Nyumba za Tanzania zimejengwa kwa matofali ya pamoja na cement halafu juu wakaezeka na mabati lakini kenya robo tatu ya wakazi wao wanaishi kwenye nyumba za bati kuanzia chini mpaka juu(full suit) ambazo huku Tanzania ni mabanda ya kufugia kuku,sungura,ng'ombe au mbwa.....kwahiyo nyie ni mbwa tu
Ukipata muda nenda manyatta estate pale kisumu halafu unipe majibu inshort nimeishi sana kenya hasa kisumu,kiukweli kenya kuna hali mbaya sana ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja
Heri Kibera mara elfu kumi ju Hata Kibera ni ndogo Sana. Dar Kila Mahali Yani ni Slum. Kibera areal view Unaweza ona mwisho na mwanzo lakini Dar ni kila Mahali