Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,666
- 107,105
Wewe mlugaluga wa wapi? Japokuwa kiutalii Arusha ipo juu Kiuchumi kwa ujumla Mwanza ipo juu! Arusha na Kisumu ukichanganya hazifikii Mwanza usini-misquote tafadhali! Mining na fishing sectors za Mwanza hazina mpinzani!Siku mwanza wakifikia hapa uniambie..
Arusha is far ahead of mwanza in almost everything and everyone knows that
Hata hapa mnawakosea wakisumu kujilinganisha na mwanza atleast kisumu vs arusha could make sense
Mwanza mji mmoja local sana
As a Tanzanian i say mwanza mnatuaibisha sana watu wakiskia ni mji wa pili
Just to make this clear mwanza ni mji wa pili kwa watu wengi but in terms of development iko nyuma sana sana actually it's one of the poorest places in Tanzania😎
View attachment 1759045
View attachment 1759047
🤣🤣 Fishing inachangia pato asilimia ngapi compared to utaliiWewe mlugaluga wa wapi? Japokuwa kiutalii Arusha ipo juu Kiuchumi kwa ujumla Mwanza ipo juu! Arusha na Kisumu ukichanganya hazifikii Mwanza usini-misquote tafadhali! Mining na fishing sectors za Mwanza hazina mpinzani!
dhahabu je? Bandari za ziwa Victoria? breweries mbili vs moja Arusha? several soft drinks plants in Arusha vs none in Arusha? Wacha ujinga mapato ya Victoria fillets yanajulikana!🤣🤣 Fishing inachangia pato asilimia ngapi compared to utalii
Akili zenu za ziwan mnazijua wenyewe
The total harvest of Nile perch per year is estimated at one million tonnes and valued between $300 million and $500 million.
Nlichogundua una shida ya exposure...unajua arusha ni ya 3 kwa viwanda vingi nyuma ya dar na pwani uku kuna viwanda hadi vya kuassemble magari...ulichonichekesha ni hapo kwamba arusha hamna soft drink plants🤣🤣dhahabu je? Bandari za ziwa Victoria? breweries mbili vs moja Arusha? several soft drinks plants in Arusha vs none in Arusha?
kwa Mweanza pitia hapa ! Hivyo viwanda vya soft drinks Arusha ni vp hebu vitaje!Nlichogundua una shida ya exposure...unajua arusha ni ya 3 kwa viwanda vingi nyuma ya dar na pwani uku kuna viwanda hadi vya kuassemble magari...ulichonichekesha ni hapo kwamba arusha hamna soft drink plants🤣🤣
Na hiyo bandar ya ziwa victoria inachangia pato kiasi gani tulinganishe tu hata na uwanja wetu mdogo wa ndege arusha airport
Kwenye makusanyo ndo usiguse kabisa mkuu arusha alone inakusanya mapato sawa na mikoa yote ya kanda ya ziwa combined😎
Tuishi humu kwanza
View attachment 1759084
Yan wewe taarifa ya mwanasiasa unaiamini au wewe umeshasahau mliambiwa atcl inaingiza faida kwa miaka 5 mfululizo🤣Pitia hapa
peleka upumbavu nimekuuliza viwanda vya soft drinks mbona hutaji?Yan wewe taarifa ya mwanasiasa unaiamini au wewe umeshasahau mliambiwa atcl inaingiza faida kwa miaka 5 mfululizo🤣
Lete data from trusted sources mkuu iwe tra, nbs au hata tamisemi usilete habari za magazeti
Kuna nini cha ajabu kinafanyika kwenye Jiji maskini hilo?Nivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa
Ni ujinga kumjibu huyo kiazi,wewe kwa akili zako Mwanza kuna nini cha kulinganisha na Mombasa,hebu mpuuze.pia Dar ni kubwa shinda Nairobaa sawa tu na vile Kinshasa ni kubwa kushinda Johannesburg, Mumbai kwa New York lakini miundo mbiu na umaarufu hauwezi linganisha, ukubwa sio issue ila sophistication
kabla hauja linganisha mwanza na mombasa.. nakusihii utazame kwanza clip/video ya mombasa kwenye ukurasa 161
Najua we hutoki arusha ila nashkuru kwa kuwa mkweli 🤣🤣Kuna nini cha ajabu kinafanyika kwenye Jiji maskini hilo?
Arusha ina viwanda na biashara nyingi sophisticated kuliko Mwanza
Arusha TRA wanakusanya mapato mengi kuliko Mwanza
Mapato ya ndani ya Mwanza na Manispaa zake ni karibu sawa na Arusha wakati ina watu lundo huku ikizidiwa kimapato na Dom
Kiufupi Mwanza ni Jiji la maskini
Arusha usiifananishe ni hivyo vijiji vyenu maskini na disorganized vya Mwanza na Kisumu na uwe na adabu kwa Arusha,,hakuna kitu Mwanza inaizidi Arusha ukiacha idadi ya maskini tuuTatizo lenu ndugu zangu wakenya mnapenda kujifariji na kujimwambafy kwamba kila kitu kiko Kenya.Ila ukweli ni kwamba wakenya mnaaminishwa ujinga.Kuhusu Mwanza waulizeni waganda,warundi,wakongo,wanyarwanda na wasudani kusini watakwambia.Kumbuka mwanza ndo kituo cha madini east africa,mwanza ndo ina watu wengi baada ya Dar,Nairobi na kampala,Ndo kituo kikuu cha biashara baada ya Dar,kampala na Nairobi,Mwanza ndo jiji pekee lenye kiwanda cha kutengeneza Meli na vivuko east africa.Ila kumbuka watu hawakimbilii kwenye njaa watu uenda kunako neema.Wingi wa watu mwanza kunaashiria neema.Kisumu siazi yake ni Arusha city.
🤣🤣 Mbona huyu ngosha kapanik
Ni viwanda hivyo! haya breweries kuna TBL and Serengeti breweries! Arusha kuna TBL Breweries tu!🤣🤣 Mbona huyu ngosha kapanik
Kuna sehemu nliyokwambia arusha kuna plant ya soft drinks
Nlikushangaa kwamba ulidhani hiyo ndio ishara ya utajiri
Ukiongelea arusha unaongelea makao makuu ya eac unajua inawatumishi wangapi unajua hizo offices zinachangia vipi kwa local economy???
Tanzanite haisafirishi nje now soko lake duniani liko arusha...still unaongelea kiwanda cha sayona😎
🤣🤣 Idadi ya wanyonge wakufanya kazi sayonaArusha usiifananishe ni hivyo vijiji vyenu maskini na disorganized vya Mwanza na Kisumu na uwe na adabu kwa Arusha,,hakuna kitu Mwanza inaizidi Arusha ukiacha idadi ya maskini tuu
Ni aibu kwa Mwanza yaani hakuna kitu cha maana kwenye hiyo video zaidi ya vijumba na majengo ambayo yako hovyo kama dampo au kichaka, totally symbol of povertyMbona picha nyingi za Nairoberry? Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kulinganisha Mwanza na Kisumu. Kwa Mwanza, Kisumu ni kijiji siyo jiji wala mji kama tutakuwa wakweli na kuacha propaganda za kitapeli wanangu.
Coca cola Nyanza Bottling?🤣🤣 Idadi ya wanyonge wakufanya kazi sayona
Una shida ya exposure sana nduguCoca cola Nyanza Bottling?
Pepsico SBC plant Mwanza?
Sandvik Mining tanzania?
Achana na mjinga huyo,sio tuu mambo ya tourism hata viwanda ,hivyo vijiji Maskini vya Mwanza na Kisumu haviwezi kusogeza pua kwa Arusha.Kwahiyo kwa akili yako Kisumu ina tourism na conference facilities za Arusha? Hata Mwanza haina! Wacha kuropoka!
kimoja kwa over 4 soft drinks in Mwanza ukijumlisha ni zaidi ya tano Mwanza!Una shida ya exposure sana ndugu
Tembea uko ziwani panakudumaza akili shauri yako
View attachment 1759102
View attachment 1759103
Bado mipango miji ni hovyo na ujenzi holela ni kila sehemuatleast nimeanza kuwapenda hawa wanabongo.. wameanza kuzingatia mambo ya miradi na muundo misingi na sio tu ukubwa wa jiji. wame gundua hawatakula kitu kwa ukubwa tu