Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Tatizo unapenda kusikiliza habari za udaku.
 
Wewe inabidi nikuwekee video kabisa ili atleast uone how a city CBD should look like. Nawe naomba uweke video tafadhali.Maana hizo picha za jengo moja moja ndo zinakupumbaza.
Weka video ya CBD ya Kisumu.Nami ya Mwanza city naiweka.
Sasa kama Dar pekee haina CBD Mwanza itatoa wapi
.
 
Kis
Aibu iko kwako. Huoni aibu iko kwako ju Mwanza mji wenu wa pili unakimbizwa na Kisii town
View attachment 1511558View attachment 1511559

Kisii mji wa kumi na..., at this level!., ata Mwanza can't compare to Thika, development and economy! Mwanza bado. I wonder what Tanzania has of significance outside Dar!., hakuna, nimeona tu akina Arusha na hii Mwanza, lakini bado sana, they can level with fourth and fifth (Naks n Eldy) and be defeated fair and square.
 
Hiyo ni Mwanza ya 2005 labda.
Leta mji wa Kenya wenye CBD ya hivi ukitoa Mombasa na Nairobi.


 
Sasa kama Dar pekee haina CBD Mwanza itatoa wapi
.
Leta video wewe wacha kuniimbia taarabu.
Unaleta picha zina majengo yaleyale matatu CBD nzima.
Wala sitaki zile video zinàzoonyesha picha picha pekee.Nataka zile zinazoonyesha taswira nzima ya mji.
Ya Mwanza ni hii.

 

Vipi niendelee na ligi? Maana nina mapicha mengi mengi ya ndani na nje ya mjini kati.
 
Hiyo ni Mwanza ya 2005 labda.
Leta mji wa Kenya wenye CBD ya hivi ukitoa Mombasa na Nairobi.


Acha uongo kijana, so march 2020 siku hizi imegeuka kuwa 2005? Was there NSSF Hotel in 2005? Was there rock city Mallin 2005? Anyway that CBD is full of shacks.
 
Acha uongo kijana, so march 2020 siku hizi imegeuka kuwa 2005? Was there NSSF Hotel in 2005? Was there rock city Mallin 2005? Anyway that CBD is full of shacks.
Unakurupuka kunukuu bila kuelewa post tatizo.

Niliyomaanisha ni ya 2005 ni hiyo aliyoiweka mwenzio post #783.

Angalia kama inafanana na ninazoweka mimi.Halafu kuwekwa YouTube 2020 haimaanishi ni ya huo mwaka.Hiyo video ni ya around 2017 maana kuna buildings nimeona zinamiss.Na hamjaifikia hata hivyo.

Nyie hako ka-centre ka mji wenu kana maghorofa matatu tu.Ndo mnayaweka hayo kila muda.Kusema Kisumu ina CBD ni kulikosea heshima hilo neno!

Eti ina shacks! Maneno ya mkosaji tu hayo.

In a nutshell Kenya has got two cities,the rest ni siasa tu.
 
One street town due to poor planning. Hakuna CBD Mwanza.
Si ucheki hiyo video hapo uone maghorofa yalivyopangiliwa.

Eti hamna CBD Mwanza hehe pole utazoea tu rafiki.

Ndo mnavyodanganyana huko kwenu eti Tz ni Dar es salaam pekee 🤣 🤣🤣

Unaruhusiwa kuja kutalii lakn.
 
That's it.
Si unaona hata video ya CBD ya Kisumu mmeogopa kuleta.
We know Kenya inside outside. You only know Tz in a nutshell.
Yes Mwanza is better than Kisumu. 😁 It's the 2nd most important city after Kampala on the Lake Victoria basin. Sasa wacha thread iendelee kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…