Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,664 Reaction score 50,635 Jan 11, 2014 #21 bnyanya said: Kisu cha kawaida cha kukatia mboga...kidogo Click to expand... Naona kina uhusiano wa karibu na jina lako, ukifanya makosa ukaondoa hiyo b kwa jina lako basi kitaingia kazini very soon
bnyanya said: Kisu cha kawaida cha kukatia mboga...kidogo Click to expand... Naona kina uhusiano wa karibu na jina lako, ukifanya makosa ukaondoa hiyo b kwa jina lako basi kitaingia kazini very soon
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,223 Jan 11, 2014 #22 Usharogwa wewe 😳😳😳😳😳
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,010 Jan 12, 2014 #24 nzalendo said: kwa wandendeule maana yake kuna mtu umemuudhi.....kama uliamka asubuhi ukakikuta mlangoni.........unless otherwise..... Click to expand... Manguta mwenga mlongela nike..???
nzalendo said: kwa wandendeule maana yake kuna mtu umemuudhi.....kama uliamka asubuhi ukakikuta mlangoni.........unless otherwise..... Click to expand... Manguta mwenga mlongela nike..???
M Mfwalamanyambi JF-Expert Member Joined Dec 18, 2010 Posts 433 Reaction score 102 Jan 12, 2014 #25 bnyanya said: Plz nisaidieni nimekuta kisu katikati yamlango nini maana yake?????? Click to expand... maana yake usiingie ndani, mkeo anatafunwa muda huo!
bnyanya said: Plz nisaidieni nimekuta kisu katikati yamlango nini maana yake?????? Click to expand... maana yake usiingie ndani, mkeo anatafunwa muda huo!
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,531 Reaction score 94,190 Jan 12, 2014 #26 Unakribia kuliwa mini-kabaang soon!
kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,222 Reaction score 1,679 Jan 12, 2014 #27 marxlups said: Naona kina uhusiano wa karibu na jina lako, ukifanya makosa ukaondoa hiyo b kwa jina lako basi kitaingia kazini very soon Click to expand... Bwahahahhahahahahahahahhah
marxlups said: Naona kina uhusiano wa karibu na jina lako, ukifanya makosa ukaondoa hiyo b kwa jina lako basi kitaingia kazini very soon Click to expand... Bwahahahhahahahahahahahhah