Kisu katikati ya mlango

Kisu katikati ya mlango

bnyanya

Senior Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
178
Reaction score
65
Plz nisaidieni nimekuta kisu katikati yamlango nini maana yake??????
 
kiulize kisu kimefikaje hapo nadhani kitakuwa kimeanza utundu wa kuzurura
 
Plz nisaidieni nimekuta kisu katikati yamlango nini maana yake??????

Ramli inaonyesha kisu amekiweka mke wa mwenyenyumba yako ili usitamani mwanamke mwingine ila yeye tu. kujiondoa kwenye balaa hilo vaa chupi au boxer ya mume wake yaani baba mwenye nyumba halafu unitafute
 
MLango wa kuingilia ndani ya nyumba...yani sebuleni. Mlango mkuu.
 
Kisu cha kawaida cha kukatia mboga...kidogo
 
ungekuwa uko masanga hata usingeuliza hilo swali ..
 
Acha kutaka tafsiri za ndoto humu
Fanya kazi, jitume utapata tu
 
kwa wandendeule maana yake kuna mtu umemuudhi.....kama uliamka asubuhi ukakikuta mlangoni.........unless otherwise.....
 
Back
Top Bottom