Kisses, mabusu, chumingis kwa watoto...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Jana katika kipindi cha Ongea na Janet Show, niliwsikia wadau mbalimbali wakilalamikia tabia za baadhi yetu kuwafundisha watoto wetu maisha ya Kimagharibi zaidi. Wengi walidai sio sahihi sana kuwafundisha watoto kubusiana na wenzao au watu wengine wasio wafahamu....ki saikoljia, mtoto asipoelezwa maana ya busu au "Kiss", kwake inaweza kuwa na tafsiri kuwa ni jambo la kawaida na anaweza kumchumu mtu yeyote yule..Watanzania wenzetu waliohama kabisa katika mfumo wa maisha haya ya Kibantu wanaweza kumaanisha haya yaliyoandikwa katika Blogu ya U Turn Blog pale watoto walipopeana mabusu na hili likaondoa maana halisi ya busu alilotoa mtoto kwa mtoto mwenzie.

MASKINI HAWA WATOTO HAWAJUI WATENDALO, FIKRA ZA WAZAZI WAO ZIPO TOFAUTI....TUNAWAFUNDISHA NINI...???

Iris et Mama.....

I loved watching Miriam and her daughter converse in French....I had no idea Miriam could speak French...

with our kids.....

I'm a khanga addict....cant do without Khangas when im home....

my love....

lol.....

How adorable are these 2....Mama mkwe nimempitisha mkwe kwa kura zoooote

Miriam couldn't stop complimentating kenzo on his hair, mpaka mwanangu kaanza kujiangalia nywele zake toka jana...lol

hey Iris wanna make out behind the curtains???lol

Kenzo are you going to Kiss me or not? is this how slow you boys in Africa are?

Alright im going to kiss you then......hahahhahaha

Kenzo kiss me some more pls do i have to make the first move everytime......

let this French princess show you some love....hhahha

hahhahahha,,,,, uwiii Kenzo alimkomaje binti wa kifaransa, anajua malove dove balaaaaa

mama mkwe nimekubaliiiiiiiii.....
 
Total ****!
Wanawake wengine unaweza hata ukapiga talaka 100 na zsiwatoshe,
'Eti nimemkubali mkwe' .... Kichwa kikubwa kama tembo halafu ubongo kama mende!
So disgusting!
 
Total ****!
Wanawake wengine unaweza hata ukapiga talaka 100 na zsiwatoshe,
'Eti nimemkubali mkwe' .... Kichwa kikubwa kama tembo halafu ubongo kama mende!
So disgusting!

Nshakwambia una akili sana wewe!
 
Ni vema tukawafundisha maadili hawa Wanetu, maana Culture Change itatumaliza kwa kweli.
 
Upuuzi namba1 ni kuukimbia utamaduni wako, kuwaambia watoto wafanye hivyo ni "upuuzi mwingi" sana.
 
Upuuzi namba1 ni kuukimbia utamaduni wako, kuwaambia watoto wafanye hivyo ni "upuuzi mwingi" sana.

Labda ilianzia kwa wazazi hao walipokuwa watoto? Malezi waliyopewa yakawahamisha toka kwenye maadili ya kibantu!!!
 
come on people it's cute and harmless ^_^ . kids grow out of it eventually na hiyo dhana ya kwamba watamkiss mtu yoyote si ya kweli. Mwanzisha thread, ungeweka specific link, hiyo ni home page ya u-turn na sijaona chochote kinachohusiana na hii thread
 
Last edited by a moderator:
na zama hizi za HIv na herpatitis na kuhatarisha maisha ya watoto bila sababu.

Idadi ya watoto wanaozaliwa na HIV sio ya kubeza.
 
come on people it's cute and harmless ^_^ . kids grow out of it eventually na hiyo dhana ya kwamba watamkiss mtu yoyote si ya kweli. Mwanzisha thread, ungeweka specific link, hiyo ni home page ya u-turn na sijaona chochote kinachohusiana na hii thread
come on people it's cute and harmless ^_^ . kids grow out of it eventually na hiyo dhana ya kwamba watamkiss mtu yoyote si ya kweli. Mwanzisha thread, ungeweka specific link, hiyo ni home page ya u-turn na sijaona chochote kinachohusiana na hii thread

Hivi unahitaji miwano ya mbao kuona jinsi ambavyo hata hao watoto wenyewe hawakuwa "comfortable" kupigana mabusu ya mdomo??..Huoni hawa watoto ni wa jinsia tofauti na kiss zilizopigwa hapo unaelewa tafsiri yake??..hujasoma maeneo ya mama wa huyo dogo wa Kiume kuonyesha alichomaanisha kwa kuwalazimisha watoto kupigana mabusu mbele yao?? kwani upendo ndani ya familia au watoto wa marafiki haupo mapaka muwafanye watoto wenu wa jinsia tofauti kupigana makisss wakati ninyi wenyewe hamwezi kufanya hivyo (kwa mfano wewe kama mume umkisi mke wa rafiki yako mdomoni??)...

Hivi kwa mtizamo wa kawaida tu kama wewe una mtoto wa kike utajiskiaje rafiki yako mwenye mtoto wa kiume atakapomlazimisha mwanae ampige busu la mdomo mtoto wako wa kike??..Utamfikiriaje kichwani mwako mtu huo, ana maanisha nini??
 
Hivi unahitaji miwano ya mbao kuona jinsi ambavyo hata hao watoto wenyewe hawakuwa "comfortable" kupigana mabusu ya mdomo??..
walikuwa ''neutral''. hawakuonesha hamu lakini pia hawakukataana. wangekuwa uncomfortable kama unavyodai wangeonesha ''outright rejection'' kitu ambacho hawakufanya

Huoni hawa watoto ni wa jinsia tofauti na kiss zilizopigwa hapo unaelewa tafsiri yake??
mimi naelewa, ila hao ni wadogo nadhani <5yrs so it means nothing! hakuna matamanio yoyote kati yao, haina tofauti na hand shake. wangekuwa ma teenagers ingekuwa tofauti

..hujasoma maeneo ya mama wa huyo dogo wa Kiume kuonyesha alichomaanisha kwa kuwalazimisha watoto kupigana mabusu mbele yao??
again ni wadogo, so it means nothing

kwani upendo ndani ya familia au watoto wa marafiki haupo mapaka muwafanye watoto wenu wa jinsia tofauti kupigana makisss wakati ninyi wenyewe hamwezi kufanya hivyo (kwa mfano wewe kama mume umkisi mke wa rafiki yako mdomoni??)
siwezi kumkiss mke wa rafiki yangu maana italeta tafsiri mbaya. mfano ni sawa kwa mtoto mdogo wa kike (2-4yrs) kutembea nje kifua wazi, haina madhara ila haimaanishi dada mtu mzima anaweza kumuiga..

Hivi kwa mtizamo wa kawaida tu kama wewe una mtoto wa kike utajiskiaje rafiki yako mwenye mtoto wa kiume atakapomlazimisha mwanae ampige busu la mdomo mtoto wako wa kike??..Utamfikiriaje kichwani mwako mtu huo, ana maanisha nini??
inategemea na umri.

Naelewa malalamiko yako lakini you read too much into it. kuna age ambazo hazina madhara, elewa kwamba unaweza kuwalaza watoto wadogo jinsia tofauti the same room, lakini huwezi wakiwa wamebalehe etc.
 
hey Iris wanna make out behind the curtain....Kenzo are you going to Kiss me or not? is this how slow you boys in Africa are?.....Alright im going to kiss you then......hahahhahaha......Kenzo kiss me some more pls do i have to make the first move everytime.....hahhahahha,,,,, uwiii Kenzo alimkomaje binti wa kifaransa, anajua malove dove balaaaaa......mama mkwe nimekubaliiiiiiiii....

duh, iko kazi.... usije shangaa hata wakiwa na adolescents pia wakawa wanawahamasisha wa-make out kama hivyo...
 
yaan nyiye mnacheza na akili za mange hizo ni za kwake tu hazimfai mtu mwingne!!!!!!!!!!!!!
 
walikuwa ''neutral''. hawakuonesha hamu lakini pia hawakukataana. wangekuwa uncomfortable kama unavyodai wangeonesha ''outright rejection'' kitu ambacho hawakufanya

mimi naelewa, ila hao ni wadogo nadhani <5yrs so it means nothing! hakuna matamanio yoyote kati yao, haina tofauti na hand shake. wangekuwa ma teenagers ingekuwa tofauti

again ni wadogo, so it means nothing

siwezi kumkiss mke wa rafiki yangu maana italeta tafsiri mbaya. mfano ni sawa kwa mtoto mdogo wa kike (2-4yrs) kutembea nje kifua wazi, haina madhara ila haimaanishi dada mtu mzima anaweza kumuiga..

inategemea na umri.

Naelewa malalamiko yako lakini you read too much into it. kuna age ambazo hazina madhara, elewa kwamba unaweza kuwalaza watoto wadogo jinsia tofauti the same room, lakini huwezi wakiwa wamebalehe etc.
\

Hiu ndio tafiri ya yaliyomo kichwani kwa mzazi:

hey Iris wanna make out behind the curtain....Kenzo are you going to Kiss me or not? is this how slow you boys in Africa are?.....Alright im going to kiss you then......hahahhahaha......Ken zo kiss me some more pls do i have to make the first move everytime.....hahhahahha,,,,, uwiii Kenzo alimkomaje binti wa kifaransa, anajua malove dove balaaaaa......mama mkwe nimekubaliiiiiiiii....

mhhh hii kali wanaiga watu wa kimagharibi watu wa spain sana ndo culture yao i remember nilipokua highschool rafki zangu wa ki spain wakiniaga lazma wanipige busu la shavu nikawa nashangaaa ila nikajua kumbe naambiwa bye sasa kumbe akikupiga busu urejeshe heeee nikajikuta narejesha naona vibaya ndo culture zao aaa nikawakwepa nikatafuta rafiki waafrika wenzangu aibu kweli kweli kwa maadili yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom