Nauza machine ya katungeneza kahawa , capuccino etc. Inaweza kutumika ofisini , nyumbani, au hata kwenye biashara kuuzia chai na kahawa.
Machine iko automatic na inaweza kukupa hesabu ya vikombe ilivyouza kwa siku bila ya wewe mwenyewe kuwepo( kwa mfanyabiashara)
Machine bado iko kwenye hali nzuri sana.
Nauza 750,000 kwa atakae hitaji nicheki kwenye namba hii 0783150130.
Haina mahusiano na tra , ukiweka dukani au supermarket lazima utakua na machine ya tra hivyo ukiuza chai au kahawa unampa mteja risiti kama unavyotoa ukiuza bidhaa nyingine. Ukiweka home kwa matumizi ya nyumbani basi tra hawahusiki