Kiss FM wamechafua hali ya hewa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiss FM wamechafua hali ya hewa.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mphamvu, Apr 23, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ndo nimefungulia radio hapa 0645 MAM, kwa raha zao, bila wasiwasi wala presha, DJ ameweka wimbo wa Brown Eyes wa Destiny's Child, nikajua labda amekosea mara moja, na nyimbo zinazofuata za tartiiib, mwendo wa kinyonga.
  Unaweza ukawa hujapata mantiki hapa, ila kwa Jumatatu hii, siku ya kwanza ya juma, asubuhi ya kuingia kuwajibika, wanaweka nyimbo za taratibu, si kuchochea usingizi huku? Sasa hivi unakuja wa Luther Vandross...
  Mpangilia vipindi wa Kiss FM fikiria upya kuhusu hili.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Badili station
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Couldnt help but laughing akhaa! mwenzio yu aleta kilio we waleta matani!
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Sasa jamani kuepusha yote si ni vema ahamie Rfa kwa fred?
  Teh
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Shaurilo naona blues zimemletea usingizi akiamka hapo ana wewe. Mie simo ati.
   
 6. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  asikile kituo kingine kama hicho kinamletea tabu, mmmmhhhhh!!!!!!!! na hii baridi isije ikawa yuko na ........ na kamwambia subiri kibao kiishe, nilikuwa napita tu jamani msininukuu vibaya
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Sijalala mwanangu, utauwawa bure!
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Nihamie wapi sasa? Hivi vi-FM radio vya Dar ambavyo hata huku Yombo havisikiki? Au Radio Uhuru/TBC ambako karibu kila utakachosikia kinachefua?
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  umeamkaje jembe...?na jana mkantoroka na Kongosho mlienda wapi?
   
 10. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  fungulia ile station...kuna mmama anapenda kusema "nzuriii"...desh desh asifiwe!
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ipi hiyo mkuu BAGAH? Nitoe gizani tafadhalih
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ile ya yule mama mwenye shule za mtakatifu meri.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...