Kiukweli mahabba/mapenzi hayana uchafu. na sio tumeiga njee, hapo nakataa!
hivo vitu vipo tangu enzi lakini kutokana wao hawana aibu mambo yao hadharani ndio tunasema wameanzisha wao sie tunaiga.
hapo kidogo mie nakataa. mapenzi yenyewe kama utayachunguza kiundani basi vitendo vyote ni uchafu.
maana ili ufaidi na ionekane kazi imefanyika, ukimaliza kufanya mapenzi (6*6) lazima ukakoge kujisafisha,
na chochote kinachosafishwa inamaana kimechafuka (uchafu). jasho na harufu ilee inakuwepo.
kwahiyo hoja ya denda uchafu nakataa. ila iliusimkere mwenzako kinywa kiwe kisafi kuondoa harufu kwasababu sekta ya kunusa harufu yupo karibu na tukio hilo taaamu.