We mdanganye mwenzako tu wakati siku hizi "antibiotic medicine"zinadunda.Atumie dawa atapona tu.. kisonono ni kama mafua tu
Kama sie umetuambia hata yeye wawezaNitaanzaje?
Mungu wanguKipo sana tu na muambie aende ata zahanati aache ufala wa kuugulia ndani
ndio tatizo la vijana, wanadanganya sana ukitumia condom haufaid sijui inachubua, inakausha k n.k kwan waliotengeneza ni wajinga? Sasa km alinyonya k, huo mdomo sijui utakuwaje? Kisonono, ghonorea, fungus, u.t.i n.k mpe pole sana. Ukimwi upo.
HahahahahAnacheza mechi bila golikipa shauri yake
Ni lazima ufungwe