figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Kisiwa cha Legoba kilichopo Ukerewe wamegoma kuzika watu waliogua kipindupindu ambao hawatokei kijiji hicho kwa imani kwamba wakizika mtu asie wa kijiji hicho italeta maafa.
Shughuli kubwa ya kiuchumi kijijini hapo ni uvuvi na kina wakazi 670 lakini msimu wa uvuvi ukifika idadi ya watu huzidi 2000. Juhudi za serikali ya kijiji kwenda kuwaelisha ziligonga mwamba.
Kipindi matukio RFA