Kisima cha maajabu -SUMBAWANGA


jaman urefu wa shimo n kama mta 10 hv
 
Nakubaliana nawewe kaka, watakuwa wamevuta hewa ya sumu.
 
Hakuna uajabu wowote
Hewa ilikosekana,
Hapo kimara limewahi
Kutokea tukio la namna
Hyo,jamaa alichimba shimo
La choo kaliacha mda mrefu
Likiwa limefunkwa, kaajir
Vijana kulisafisha,wawil
Wakafa mmoja akaokolewa
Kama alivyookolewa huyo.
Jielimishe kwanza mkuu ndo
Uite ajabu!
 
jaman urefu wa shimo n kama mta 10 hv
Now you are talking!
Kama nilivosema awali, kwa urefu wa shimo hilo kuimaliza oxygen yote ni muda mfupi sana kwa watu wawili(hasa shimo likiwa finyu).
Mtu anaimaliza oxygen yote halafu anakufa kwa asphixiation.
By definition asphyxiation is : suffocation caused by a condition of being deprived of oxygen.
 

kaka nimekuelewa lkn n vp iwe kukosekana oxgen muokoaj aliingia na oxgen machine pia kafa mpaka alipopatikana mganga wa kienyeji ndo wakaopolewa?
 
Eti 'maajabu ya kusisimua!', acheni kuendekeza imani za giza kwa vifo vinavyojieleza! Umeuliza kina cha kisima? Hewa iliyopo chini? Taarifa za kitabibu kwa miili iliyoathiriwa (postmortem reports)? Fuatilia hivyo vyote ndipo utuambie "habari za kuaminika".

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
Ovyooo! Kazi kueneza imani za kichawi. Kwa nini usidhani kama kuna hewa ya sumu ndani ya kisima sababu inayoweza kuwa kweli kuliko kukimbilia uchawi?
 
Acha ushamba , ukichimba shimo na wewe ukaingia ndani na uka kaa humo , utakufa kwa kukosa oxygen.
Ndio maana wachimbaji wa madini wanahakikisha kuna compressor ya kuingiza hewa mpya shimoni.

Jitahidi kuelimika kijana!
kuna tofauti kubwa sana ya shimo la kisima na shimo la mgodi mkuu.
 
kaka nimekuelewa lkn n vp iwe kukosekana oxgen muokoaj aliingia na oxgen machine pia kafa mpaka alipopatikana mganga wa kienyeji ndo wakaopolewa?
Nimepitia tena submission yako na sijaona mahala umesema muokoaji aliingia na mtungi wa oxygen.
Pengine hilo ni jipya, lakini ni dhahiri waliokufa walikosa oxygen.

Mimi nashindwa kuweka imani yangu kwa hao waganga, actually siwezi kabisa kufanya hivyo.
Hizi ajali za mashimoni ni myingi sana na waganga hao wala hawana ujuzi au uweza wa kueleza chanzo cha ajali kama hizo.
 
waacheni sumbawanga waitwe sumba-wanga. Wanafikiria kiwanga wanga tu
 
Ajabu ni nini hapo sasa?

Hebu waulize, manake isijekuwa mchimbaji alitoboa miamba huko chini kukawa na kemikali hatari wakavuta wakafa. Sijui hata kama post-mortem, autopsy au similar analysis ilifanyika kujua chanzo cha vifo.
 
mosapakyindi na @Kwaharizm mmemaliza kabisa hii maneno. Pitieni wall ya fb ya Mwandishi wa habari Sammy Jumaa Kisika akiwa eneo la tukio.
 
Last edited by a moderator:
Uchawi si lolote si chochote. mtu akikosa scientific explanation anasingizia uchawi. huu ni ufinyu wa akili. Ungekuwapo uchwi ccm wangefanikiwa katika kuiondoa CHADEMA. maana CDM kinawanyima kina Lukuvi na mwigulu usingizi kweli

na ingekuwa uchawi unaweza SUMBAWANGA, TANGA na KIGOMA kila siku kwenye kila nyanja wangekuwa mbele sana mkuu
 
mita kumi kukosa hewa kawaida kabisa. ELIMIKENI. shnzy

Mita kumi sio.kaqaida kukosa hewa ni still shalow hole na.kwa sababu wamekufa instantly ni lazima kuna presense ya hewa yenye sumu na hizo ni characterstics za H2S ndio Hydrogen Sulphide ilivyo very effective and swift killer
 
Mleta mada naye kaathiriwa na imani za kishirikina.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…