Kisiju moja iyo

Sipati picha ya godoro na shuka la mshkaji.Akilala gesti inabidi tumtandikie ngozi
 
Nilikuwa na binti mmoja mfanyakazi wa dukani,alivyokaa town na kujua kupiga pamba za kubana makalio,siku moja alitembelewa na wazazi wake kwa mapigo hayo,ambao walifikishwa pale na mtu anayepafaham,hauwezi kuamini binti alikuwa anakana ya kwamba ni wazazi wake akisingizia ni wazee tu wa huko kijijini.
 
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji124] [emoji124]
 
Wampigie wimbo wa snura wa sugua gaga huenda ukamsaidia wakati akiucheza!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…