Kishindo cha Mbowe Magu

Kishindo cha Mbowe Magu

Wala sitetei ccm ila Huwa sipendi uongo yaani kuwafanya wasiojua ngazi zenu,nyie machadomo nawafahamu vizuri sana nimewahi kuwepo huko kabla ya kugundua ni wapiga Dili tuu.
makuwadi ya warabu upepo umekata, mwambieni mamayenu arudishe hela alizohongwa na hayo marabu koko kabla hazijamtokea puani.
 
- Asema "mitumba ya CCM imeuwa Pamba ya Wasukuma"

Na Mwadishi Wetu
SERIKALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeuwa viwanda vingi vya nguo na kusababisha Tanzania kuwa "Taifa la Wavaa Mitumba", huku pamba inayozalishwa nchini, hususan kwenye mikoa ya kanda ya ziwa, ikizidi kuporomoka bei kwa kukosa soko.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, katika mikutano yake aliyoifanya leo kwenye maeneo ya Nyambiti, Mallya, Sishani na Magu Mjini, mkoani Mwanza.

Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, wamepiga kambi kubwa kwenye mikoa ya ukanda wa ziwa Victoria, wakiendesha Operesheni kabambe ya kuimarisha chama hicho na kuwasemea wananchi shida zao, inayoitwa Operesheni +255 yenye ujumbe wa "Katiba Mpya: Okoa Bandari Zetu"

Kiongozi huyo amesema, viwanda vingi vilivyoasisiwa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, viliuzwa au kubinafsishwa kiholela, lakini kwa ahadi kuwa vingeendeshwa vizuri zaidi.

Matokeo yake, pamba inayozalishwa nchini imepoteza hata soko la ndani lenye zaidi ya watu milioni 60.

Bei ya pamba kwasasa imeporomoka na kufikia Shilingi 1,060 kwa kilo, kutoka bei ya zaidi ya shilingi 2,040 huko nyuma, ikiwa ni mporomoko wa zaidi ya asilimia 50.

Akihutubia maelfu ya wananchi wa Magu, Mbowe amesema:

"Wakati wa Mwalimu, pamba ya Wasukuma ilikuwa na thamani sana kwasababu tulikuwa na viwanda vya nguo. Hapa Mwanza tulikuwa na kiwanda cha Mwatex, Musoma tulikuwa na Mutex, Morogoro tulikuwa na Morogoro polytex, Arusha tulikuwa na Kilitex, Mbeya tulikuwa na Mbeyatex, Dar es Salaam tulikuwa na Urafikitex, Sunguratex

Tulikuwa tunauza nguo mpaka nje ya nchi. Wakashindwa kuendesha viwanda walivyoachiwa na Mwalimu. Wakavibinafsisha kiholela.Vingi vimekufa au kuanguka katika uzalishaji. Wamesababisha Tanzania kuwa Taifa la wavaa mitumba. Pamba ya msukuma imeporomoka bei, imekosa soko na wengine wameacha kabisa kulima pamba kwasababu haiwalipi"

Mwanasiasa huyo aliongeza kuwa mbali na kuuwa viwanda, CCM pia imeuwa benki muhimu za Taifa zilizoanzishwa kwaajili ya kusaidia wakulima na wafanyabiashara.

"Nchi yetu ilikuwa na mabenki. Benki kama CRDB ilianzishwa kama benki ya ushirika ya kusaidia mahitaji kilimo kama ya kununua pembejeo, lakini serikali za kifisadi zilizofuata baada ya Mwalimu zikaibinafsisha. NBC ilikuwa ni benki ya Taifa ya Biashara na NMB ilikuwa sehemu yake. Nazo wakashindwa kuziendesha, wakazibinafsisha. Matokeo yake leo hakuna benki ya uhakika ya kusaidia wakulima", alisema Mbowe.

Mbali na kuporomoka kwa bei, kilimo cha pamba kinakabiliwa na tatizo la kuwa na tija ndogo ya uzalishaji, ambapo kwa wastani wakulima huvuna kati ya kilo 200 mpaka 300 kwa ekari moja.

Uzoefu wa nchi nyingine kama Brazil unaonesha kuwa wanavuna mpaka kilo 3,000 kwa eneo la ekari moja, tija ambayo ni kubwa kwa zaidi ya mara kumi ya Tanzania.

Tija ndogo katika uzalishaji inasababishwa na huduma duni za ugani na wakulima kukosa pembejeo stahiki za kilimo, husani kukosa mbegu bora na mbolea, huku ruzuku ya mbolea inayodaiwa kutolewa na serikali, ikiwa haifikii walengwa wengi wala kukidhi haja ya malengo yao ya kilimo.

"Kwa hiyo leo, tuna Chama ambacho kimeshindwa kusimamia kilimo; kimeshindwa kusimamia mifugo; kimeshindwa kusimamia uvuvi kimeshindwa kusimamia madini; kimeshindwa kusimamia mbuga zetu za wanyama, wanauza mapori yetu kila mahali, wamehamisha watu kule Loliondo na kuwapa wageni; Chama ambacho kimeshindwa kusimamia mashirika ya umma takribani 450 aliyoyaacha Mwalimu.Na baada ya kushindwa kusimamia kila kitu, sasa wameona haitoshi, wamegawa bandari zetu zote kwa wageni ....what is this (Ni nini hii)?, alihoji Mbowe

Alisisitiza kuwa CCM iliyoshindwa kusimamia kila kitu ni hatari ikiachwa iendelee kukaa madarakani, kwani itauza urithi wote wa watoto wa Kitanzania.

"Bandari ni urithi wa watoto wetu. Bandari ni uchumi. Nchi zote zinazotuzunguka kama Congo, Rwanda, Burundi, Uganda, Zambia na Malawi, hazina bandari, zinategemea bandari yetu kwaajili ya kuingiza mizigo yao kutoka nchi za nje na pia kusafirisha bidhaa zao kwenda nje. Bandari ni roho ya uchumi wa nchi yetu. CCM baada ya kushindwa kuziendesha, wameamua kuwapa Waarabu bandari zote za Tanganyika kwa mkataba wa milele. Ni hatari kuendelea kuongozwa na CCM, tumekuja kuwaandaa kwa mabadiliko", alisema Mbowe.

Aidha, akiwapigisha kura ya wazi wananchi wa Nyambiti, Sishani, Mallya na Magu Mjini, kuhusu mkataba wa kuendeleza bandari na maeneo mengine ya kiuchumi, ulioingiwa baina ya serikali ya Tanzania na Dubai, uwanja mzima uliunga mkono msimamo wa Chadema wa kupinga mkataba huo na kuipinga CCM inayokubaliana na mkataba huo.

Mbowe aliendelea kuwaomba wananchi kujisajili rasmi kuwa wanachama wa Chadema ili kuipa nguvu zaidi ya kuchukua dola na kujenga Tanzania mpya inayojali haki, uhuru, demokrasia na maendeleo ya kweli ya watu wote.View attachment 2713150
Huyu mwamba ataua watu kwa presha
 
Afadhali...!
Haya ndio mambo tunayotaka kusikia toka kwa chama mbadala.

Story na blah blah za kumhuhusu marehemu ambazo huwezi kuzihoji mahakamani ni kuachana nazo.
 
Wewe unamhurumia tu magufuli lkn ameacha madhara makubwa kwenye nchi. Kumsema ni kuwakumbusha walio hai wasifanye makosa kama yale
 
Kwamba Mbowe anataka kusema wao Chadema watafuta mitumba harafu pamba ndio itapanda bei?

Hizo gharama za nguo Kwa watu wa kawaida Mbowe atakuwa anawalipia Ili Wasukuma wauze pamba Kwa bei ya juu? Kuna hata kiwanda Kimoja kimekufa Kwa sababu ya mitumba?
Huoni hata fact iliyopo ya kua mmeua viwanda vingi san nchini kwa maslah binafsi? Hili halihitaji kukaza fuvu, poshoman kbs!!
 
Hakuna kitu ,Mimi Huwa sishikiwi akili,fikiria kwanza sio unaongea vitu cheap tuu.

Kwanza machadomo yakishika Nchi yanaweza vuruga mambo kama Ruto maana mihemko na kukurupuka kumezidi kwamba unadhani ni kupiga tuu marufuku au siyo? 😂😂
Tha weakest facts ❌!!
 
- Asema "mitumba ya CCM imeuwa Pamba ya Wasukuma"

Na Mwadishi Wetu
SERIKALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeuwa viwanda vingi vya nguo na kusababisha Tanzania kuwa "Taifa la Wavaa Mitumba", huku pamba inayozalishwa nchini, hususan kwenye mikoa ya kanda ya ziwa, ikizidi kuporomoka bei kwa kukosa soko.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, katika mikutano yake aliyoifanya leo kwenye maeneo ya Nyambiti, Mallya, Sishani na Magu Mjini, mkoani Mwanza.

Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, wamepiga kambi kubwa kwenye mikoa ya ukanda wa ziwa Victoria, wakiendesha Operesheni kabambe ya kuimarisha chama hicho na kuwasemea wananchi shida zao, inayoitwa Operesheni +255 yenye ujumbe wa "Katiba Mpya: Okoa Bandari Zetu"

Kiongozi huyo amesema, viwanda vingi vilivyoasisiwa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, viliuzwa au kubinafsishwa kiholela, lakini kwa ahadi kuwa vingeendeshwa vizuri zaidi.

Matokeo yake, pamba inayozalishwa nchini imepoteza hata soko la ndani lenye zaidi ya watu milioni 60.

Bei ya pamba kwasasa imeporomoka na kufikia Shilingi 1,060 kwa kilo, kutoka bei ya zaidi ya shilingi 2,040 huko nyuma, ikiwa ni mporomoko wa zaidi ya asilimia 50.

Akihutubia maelfu ya wananchi wa Magu, Mbowe amesema:

"Wakati wa Mwalimu, pamba ya Wasukuma ilikuwa na thamani sana kwasababu tulikuwa na viwanda vya nguo. Hapa Mwanza tulikuwa na kiwanda cha Mwatex, Musoma tulikuwa na Mutex, Morogoro tulikuwa na Morogoro polytex, Arusha tulikuwa na Kilitex, Mbeya tulikuwa na Mbeyatex, Dar es Salaam tulikuwa na Urafikitex, Sunguratex

Tulikuwa tunauza nguo mpaka nje ya nchi. Wakashindwa kuendesha viwanda walivyoachiwa na Mwalimu. Wakavibinafsisha kiholela.Vingi vimekufa au kuanguka katika uzalishaji. Wamesababisha Tanzania kuwa Taifa la wavaa mitumba. Pamba ya msukuma imeporomoka bei, imekosa soko na wengine wameacha kabisa kulima pamba kwasababu haiwalipi"

Mwanasiasa huyo aliongeza kuwa mbali na kuuwa viwanda, CCM pia imeuwa benki muhimu za Taifa zilizoanzishwa kwaajili ya kusaidia wakulima na wafanyabiashara.

"Nchi yetu ilikuwa na mabenki. Benki kama CRDB ilianzishwa kama benki ya ushirika ya kusaidia mahitaji kilimo kama ya kununua pembejeo, lakini serikali za kifisadi zilizofuata baada ya Mwalimu zikaibinafsisha. NBC ilikuwa ni benki ya Taifa ya Biashara na NMB ilikuwa sehemu yake. Nazo wakashindwa kuziendesha, wakazibinafsisha. Matokeo yake leo hakuna benki ya uhakika ya kusaidia wakulima", alisema Mbowe.

Mbali na kuporomoka kwa bei, kilimo cha pamba kinakabiliwa na tatizo la kuwa na tija ndogo ya uzalishaji, ambapo kwa wastani wakulima huvuna kati ya kilo 200 mpaka 300 kwa ekari moja.

Uzoefu wa nchi nyingine kama Brazil unaonesha kuwa wanavuna mpaka kilo 3,000 kwa eneo la ekari moja, tija ambayo ni kubwa kwa zaidi ya mara kumi ya Tanzania.

Tija ndogo katika uzalishaji inasababishwa na huduma duni za ugani na wakulima kukosa pembejeo stahiki za kilimo, husani kukosa mbegu bora na mbolea, huku ruzuku ya mbolea inayodaiwa kutolewa na serikali, ikiwa haifikii walengwa wengi wala kukidhi haja ya malengo yao ya kilimo.

"Kwa hiyo leo, tuna Chama ambacho kimeshindwa kusimamia kilimo; kimeshindwa kusimamia mifugo; kimeshindwa kusimamia uvuvi kimeshindwa kusimamia madini; kimeshindwa kusimamia mbuga zetu za wanyama, wanauza mapori yetu kila mahali, wamehamisha watu kule Loliondo na kuwapa wageni; Chama ambacho kimeshindwa kusimamia mashirika ya umma takribani 450 aliyoyaacha Mwalimu.Na baada ya kushindwa kusimamia kila kitu, sasa wameona haitoshi, wamegawa bandari zetu zote kwa wageni ....what is this (Ni nini hii)?, alihoji Mbowe

Alisisitiza kuwa CCM iliyoshindwa kusimamia kila kitu ni hatari ikiachwa iendelee kukaa madarakani, kwani itauza urithi wote wa watoto wa Kitanzania.

"Bandari ni urithi wa watoto wetu. Bandari ni uchumi. Nchi zote zinazotuzunguka kama Congo, Rwanda, Burundi, Uganda, Zambia na Malawi, hazina bandari, zinategemea bandari yetu kwaajili ya kuingiza mizigo yao kutoka nchi za nje na pia kusafirisha bidhaa zao kwenda nje. Bandari ni roho ya uchumi wa nchi yetu. CCM baada ya kushindwa kuziendesha, wameamua kuwapa Waarabu bandari zote za Tanganyika kwa mkataba wa milele. Ni hatari kuendelea kuongozwa na CCM, tumekuja kuwaandaa kwa mabadiliko", alisema Mbowe.

Aidha, akiwapigisha kura ya wazi wananchi wa Nyambiti, Sishani, Mallya na Magu Mjini, kuhusu mkataba wa kuendeleza bandari na maeneo mengine ya kiuchumi, ulioingiwa baina ya serikali ya Tanzania na Dubai, uwanja mzima uliunga mkono msimamo wa Chadema wa kupinga mkataba huo na kuipinga CCM inayokubaliana na mkataba huo.

Mbowe aliendelea kuwaomba wananchi kujisajili rasmi kuwa wanachama wa Chadema ili kuipa nguvu zaidi ya kuchukua dola na kujenga Tanzania mpya inayojali haki, uhuru, demokrasia na maendeleo ya kweli ya watu wote.View attachment 2713150
Hasa hili la kuua viwanda sielew CCM wanania gan na Taifa la Tanzania hakyan ni vitu haviingii akilin!!!
 
Kwamba Mbowe anataka kusema wao Chadema watafuta mitumba harafu pamba ndio itapanda bei?

Hizo gharama za nguo Kwa watu wa kawaida Mbowe atakuwa anawalipia Ili Wasukuma wauze pamba Kwa bei ya juu? Kuna hata kiwanda Kimoja kimekufa Kwa sababu ya mitumba?
Natofautiana nawe kwa mengi, lakini kwa hili mbowe inaonekana haijui hali halisi ya wananchi.

Anawaza sawa na kina kinana wanavyowaza, sioni ni vipi anaweza kutukomboa tukiwapa madaraka.
 
Sio kweli, mchina anazalisha nguo mpaka za sh 2000 mpyaa, mitumba ya nguo na magari ni soko la wazungu ikipiga marufuku hivyo vitu viwili unatafuta matatizo, jiulize kwanini hauruhusiwi kununua gari used iliyotumika nchi jirani? Badala yake inahimizwa uinunue ulaya nk
Kwa nini wafanyabiashara wasilete hizo nguo Mpya za elfu 2 kutoka Kwa Mchina?
 
Wananchi wamekuja wenyewe kusikiliza sera za maana!
Hawajabebwa kwa mafuso au matrekta toka makwao!
Hii ndio CDM chama cha Wazalendo wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom