Kishika uchumba kimerudishwa

Wazazi wabinafsi sana na akiendeleaaa kuwasikiliza atashangaa hamna wa kukuoa
Just imagine anaingia Tena Kwa soko mpk apate wa kumuoa
Si ndyo hapo hawajui jinsi gani ilivyo ngumu kuanza upya siku hizi
 
Beti na hyo lakibtano waweke man City mechinzijazo

Kwanza siamini pengine uongo
 
Binti hataolewa tena atazalia home na kupata usijili wa kudumu wa single mother
 
Kabla ya posa ya tatu kukataliwa tena inabidi, hao wakataa posa wamuoe wao, la sivyo wajiandae kulea wajikuu non stop.
 
We nae miyeyusho ukishaona Kuna vikwazo vingi kumchukua binti rejea kwenye katiba ya jamhuri ya mabachela ibara 19 kifungu kidogo 2(a)piga mimba, ikifika miezi sita Anza taratibu za uchumba haraka sana, ikiwezekana zuga uonekane mimba si yako bali lengo lako ni kumuoa na mimba si kikwazo
 
Daah
 
Hiyo familia itakuwa na Upungufu wa Akili,huyo jamaa ashukuru kwasababu wangepata watoto wakapita kwenye mkondo huohuo wa Kipumbavu!.

Kuna mmoja naye alikuwa hapishani sana hii stori,yule mwanamke alikuwa mrembo sana na familia yake alikuwa inawakataa wanaume wasiokuwa wa kabila lake,ile familia iliwakataa wanaume wenye nyadhifa kwasababj tu hawakuwa kabila lake,kwakuwa familia yake ilikuwa na nguvu binti aliwakataa wanaume wale akafuatisha maneno ya Familia na ndugu zake.

Yule Mwanamke alikuja kuangukia kwa mwanaume ambaye alikuwa jambazi(Aliuawa na Polisi kwenye matukio yao ya ujambazi),Kwakuwa familia yake iliridhia aolewe na yeye akaolewa na mwisho wa siku jamaa alikufa kwa kupigwa risasi akamzalisha watoto 5 akamuacha hana chochote akaamua kurudi kwao wakamsaidie kulea,Alichakaa,akakonda,akaisha na hatimaye Alikufa.
 
Hili ndilo wazo mzigo kwanza document baadaye🤣🤣🤣🤣🤣🪑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…