St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,173
Salamu wana jf.
Kwakweli hii tabia ya rafiki yangu imekuwa sasa kama maradhi kwake, huyu rafiki yangu ana mke tatizo lake kubwa hutongoza wanawake na kutangaza ndoa. Sasa kuna wanawake kama watano hawa hawajataka kutoa papuchi mpaka wafunge ndoa.
Huyu rafiki yangu hutangaza ndoa na kulipia mpaka mahari, hapo ndipo anapo wapata hawa wanawake kuona ndio mume mtarajiwa. Nao ndio humwachia kucheza mechi kwenye uwanja wao wa taifa, tatizo akisha wavua pichu jamaa uchumba ndio umekwisha na hela ya uchumba huisamehe pia.
Sababu ya kuleta hii stori hii tabia ya rafiki yangu na mimi sasa naona naanza kuifata, na kwakweli naona sio tabia nzuri. Isipokuwa mimi sitoi mahari hujitambulisha kwa wazee wa mwanamke nikishapewa tunda nasepa. Sasa wiki iliopita kuna ex-wangu mmoja shuleni tulisoma pamoja niliachana nae kutokana huyu mdada yupo bikra bado, na alikataa katakata kutoa tunda mpaka mume atakae muowa ndio anamuachia hilo tunda.
katika maongezi yetu nikamuuliza kama kishaolewa ndipo akasema kapata mchumba na kishatowa mahari na harusi kupangwa mwezi wa tatu mwakani 2017. Huyu ex-wangu akatoa cellphone yake na kunionesha mchumba wake, nikiwa naiangalia picha ya huyo mchumba nilipigwa na butwaa na ilinitoka heee
Ilikuwa picha ya yule Firauni rafiki yangu mtoa posa na husepa, sasa wakuu nashindwa nianzaje kumueleza huyu ex-wangu kuwa jamaa mgegedaji tu na sio muoaji. Lakini nimemuuliza huyu msela wangu anasema kwenye wiki mbili hizi ana suka mipango ya kumgegeda na ikifika February anasepa.
Nifanye nini kumuokoa huyu mdada kutoka kwa hili lishetani