Hakuna shamba kule. Yako mapori mkuu.Vip mashamba huko bei gani
Wafugaji wanatakiwa kubadilika, ardhi haiongezeki, watu wanaongezeka, wanatakiwa kufuga kisasa ili kuondoka na changamoto za magomvi na wakulima, kwani wakulima huona kama wanadharauliwa na wafugaji hii ni kutokana kwamba, wakulima bidhaa yao ni ya muda mfupi, sasa mifugo inapokula mazao ya mkulima inaonekana mfugaji anafanya makusudi, ingawa wanaofanya makusudi wapo pia.Vip mashamba huko bei gani
sasa mkuu mnalima porini?Hakuna shamba kule. Yako mapori mkuu.
Waf
Wafugaji wanatakiwa kubadilika, ardhi haiongezeki, watu wanaongezeka, wanatakiwa kufuga kisasa ili kuondoka na changamoto za magomvi na wakulima, kwani wakulima huona kama wanadharauliwa na wafugaji hii ni kutokana kwamba, wakulima bidhaa yao ni ya muda mfupi, sasa mifugo inapokula mazao ya mkulima inaonekana mfugaji anafanya makusudi, ingawa wanaofanya makusudi wapo pia.
Dawa ni kukamata mifugo yao mpaka kielewke lakini naona huyu mkuu wa wilaya kaonyesha njia, kweli wafugaji wanaona wana pesa sana kuliko mfugaji, wakikamatwa wa mfano wakafungwa na kulipa faini akili zitawakaa sawa.Ni sawa Mkuu ni kwamba viongozi wanajua tatizo ni mfugaji. Ila wanaishia kutoa matamko tu. Mfugaji ana pesa kila wakati kwasababu hanunui majani ya kula mifugo na mara nyingine analisha na kwenye mahindi na maboga ya mkulima na, ng'ombe akikua na kupata uzito bora anawahi mnadani, mkulima hana uwezo wa kufanya chochote. Kwa kweli sina namna ya kuwafikishia ujumbe hawa viongozi. Yaani mkuu wa Wilaya. Ila hii ni kero kubwa.
Mkuu umenifurahisha na swali lako Ili eneo liitwe shamba ni kwamba kuna kazi imefanyika hapo. Kazi hiyo ni pamoja na pori kukatwa miti,kuondoa visiki n.k.nadhani wengine watasaidia kukuelewesha, kama una nia kweli ya kuelewa na kupata shamba.sasa mkuu mnalima porini?
asante mkuuMkuu umenifurahisha na swali lako Ili eneo liitwe shamba ni kwamba kuna kazi imefanyika hapo. Kazi hiyo ni pamoja na pori kukatwa miti,kuondoa visiki n.k.nadhani wengine watasaidia kukuelewesha, kama una nia kweli ya kuelewa na kupata shamba.
Kwa hiyo hakuna mtu anaefanya kazi hiyo halafu anatafuta wanunuzi, au labda kama kuna mtu alikuwa na shamba anataka kuuza,hao ni wachache. Mashamba mengi ni ya wazawa ya kurithi au wenyeji ambapo hayauzwi ovyo ovyo. Kama unataka Shamba kama uko makini hupati humu JF na kwenye keyboard nenda vijijini onana na viongozi wa vijiji watakupa tatatibu.