Kisanga cha mahaba

Alikua anatafuta unafuu wa maisha!! Nyumba umpangie, umkune kitandani , matunzo uumpe halafu atake kuondoka???

Mtunze na mimba yake maana uliyataka mwenyewe!!
 
Nia yako na madhumuni yako uliyapata na yakafanikiwa kupitia huyo binti, wewe ndo umemzoesha hiyo mitombo ya ivo leo unasema anakuboa, una mke hakati kiu yako ukaona heri umchukue huyo akate kiu yako, ametoa mimba kwa ajili yako na hiyo kaamua kuibeba unataka kumtelekeza, hebu kuwa na huruma jamani mpunguzie ukatili huyo dada, laana yake itembee na wewe siku zote za maisha yako km hii ni kweli na sio chai
 
mkuu una hadith ndefu nimesoma kila sijamaliza mpaka sasa ngoja tuendelee kuisoma
 
Very stupid!

Haya mambo yanatutokea wanaume ila sio mambo ya kusema hadharani kama hivi!

Umepangisha chumba, ukagegeda mwenyewe, ukatia mimba, alafu ushauri tutoe sisi?

Take responsibility for your own stupidity.
 
Hahahaaa nimempenda bure apo pa kuja kudai kimoja
 
Mkuu inamaana ulianza kumiliki usafiri kabla ya kupanga ghetto,kuwa na kitanda na godoro?.Katika andiko lako umeainisha baada ya kuamua utafute mmoja use naye maandalizi yako ulipanga geto ,ukanunua kitanda na gidoro then ukakutana na kabinti ilukakapa lift.
 
Haha nimeshindwa hapo unapofikiri kumuachia mtoto kama zawadi, na utatoa matunzo tu endapo kuna ulazima. Najua kila mtu ni wa aina yake, ila wewe ni wa kipekee zaidi.
 
Sema sisi wanaume wa macho juujuu ndivyo tulivyo.tunawachogaga mademu bila sababu yoyote.kwa hiyo huyu demu umemchoka na amakukinai tayari kiasi kwamba unamuona kero.wakati wewe mwenyewe uliamua kuoanga geto jingine kwa ajili hiyo halafu inakuwa kero tena.Pia uzoefu wa kuishi na wake wawili tayari unao.we endelea tu mbona unaweza mkuu
 
Watu kama nyinyi ndo mlipaswa kuwa wateja wa mkemia mkuu kwa ajili ya mkojo
 
Sema sisi wanaume wa macho juujuu ndivyo tulivyo.tunawachogaga mademu bila sababu yoyote.kwa hiyo huyu demu umemchoka na amakukinai tayari kiasi kwamba unamuona kero.wakati wewe mwenyewe uliamua kuoanga geto jingine kwa ajili hiyo halafu inakuwa kero tena.Pia uzoefu wa kuishi na wake wawili tayari unao.we endelea tu mbona unaweza mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…