Kisa: Nilivyowahi maishani

Mzee hukua na ndgu jamaa wala marafiki??
Japo sometimes ni wanafki ila kwenye issue serious huwa tunapeana michongo, uliosoma nao, uliokua nao wote mlikua mnapitia msoto au ndo ulikua masikini jeuri??

Kwenye story yako unapambana bila kushirikisha watu, namna gani ndgu??
Huyo mkeo nae alikua apeche kama wewe??
 
Wewe ume copy story ya watu wewe ni mqundu
 
Kama ipo huko niliko copy lete hapa nitaomba radhi kbs na kufuta kila kitu najiamin nasimulia my really life niliyoptia
Nashukuru kwa kuniita mkund hata kwetu mpo kama nyie 100 kipi sjaskia...
inasikitisha... Sana mkuu....
 
Daah
 
NAENDELEA
PART 5

NAPATA KAZI YA KUOSHA MAGARI MBEZI LUIS KABLA STEND HAIJAJENGWA.
Nimetoka zangu goba kwa mguu sjui naelekea wapi nikaenda mpaka mbezi luis nikashika ile njia ya kwenda kibaha nikiwa natembea hata sjui naenda kwa nani mara nikakuta jamaa mmoja anaosha madaladala njiani...
Nikampa hi kisha nikamwambia nataka kusaidia kazi japo nipate chochote, jamaa akanambia karibu kwa leo maana mwenzie hajaja kazini.
Kweli nikaanza kazi na sjawahi osha magari aisee nilipambana sana kufanya usafi ndani ya gari na nje ya gari pia kusugua gari itakate.
Nilipga kazi hatari sana nina njaa nina kiu hakuna wa kunionea huruma.
Makondakta na madereva wakawa wananipa nguo zao za kazi kuwafulia nikijua wananilipa chochote but hola nilifua niliosha magari mpka kwenye saa 12 jioni hivi jamaa akanipa elfu 5 tu ila nilishukuru sana aisee.
Nikatoka hapo nikaanza kupiga mguu kurudi home nikanunua juisi ya 500 na vitumbua vya 500 nikawa natafuna huku narudi zangu home na elfu 4 mfukoni kishujaaa.
Nilipofika home nakuta mwanamke kanuna nikampa ile elfu 4 nikamwambia bs kama kuna cha kumnunulia mtoto amnunulie ingawa walikuwa wameshakula maana si mnajua mwanamke yeye alikuwa kaajiliwa ni mwalimu wa secondary.
Kesho kumekucha nikasema wacha niende palepale kwenye kuosha magari nikamkuta mwamba nikaanza kupiga kazi hatari sn mpaka jioni kwenye saa 12 hivi jamaa ananifata ananiambia leo hamna hela kwani hela yote kampa bosi hapo sjala, sjanywa wala sina kitu kbs sionewi huruma na mtu.
Nilishiwa pozi ila ndo ivyo nimefanya kazi bure tu ya kuwaingzia watu hela huyooo nikatoka mdogo mdogo kurudi home nina kiu, njaa, nimechoka sn kwa kazi na sina hela hata mia.
Natembea kwa mguu tena toka mbezi to goba alooo nmefika home mwanamke nikamkuta katulia zake na mtoto wameshakula wapo wanabembelezana, daaah no menu hakuna nilichobakishiwa.
Mkumbuke sjala wala kunywa toka asubuhi hapo na nimetenbea kwa mguu nenda rudi, mi binafsi ni mkimya sn so nilipoona hapa hakuna msosi nilinyamaza tu nikatafuta maji nikaoga nikalala kimyaaa yaliyonikuta huko nilikokuwa ni siri yangu na Mungu wangu.

NITAENDELEA....
 
NAENDELEA PARTY 6
NAPATA KAZI SHULE YA WASICHANA MAENEO YA BUNJU

Hatimaye nilipata kazi aisee kwa kuunganishiwa na pastor mmoja aliyetokea kunikubali sn na kiukweli binafs nina nyota ya kupendwa na kukubalika hasa tukikutana kundi la watu mara nyingi nakuwa star....

Nilianza kaz kama cashier na mpokea wageni na wanafunzi wanapofungua shule nakusanya michango yote na mahitaji ya shule naweka kwenye records, nilipga kazi pale mkurugenzi akanielewa sana maana nilikuwa nasaidia mpaka kazi za secretary kwani waliokuwepo uwezo ulikuwa mdogo sana.
Si haba nilikuwa napata sana hela shule ikifunguliwa wanafunzi ambao walikuwa hawaji na ream nilikuwa nakusanya hela kila kichwa 20,000 nikishakusanya naenda nazo hela nanunua ream kwa 15,000 kisha elfu 5 nabaki nayo kama faida ila nilikuwa nafanya kwa siri sana.
Siku moja alikuja mzungu mmoja kaleta binti pale shuleni nikampokea tukapgapiga story maana pia kiswahili kilikuwa kinapanda akaniomba mtoto apokelewe na nimuandikie rist kwamba kalipa ada then kesho yake yeye ataituma pesa kwangu talipa benk nikamwambia poa.
Kweli kesho yake alituma pesa ya watu nikalipa, alirdi tena mzungu yule kuleta mahitaji mengne ya binti akatokea kunikubali sn akasema amependa vile nachapa kazi anataka kunipa kazi kwenye kampuni yake kama nipo tayari akauliza salary yangu nikamwambia akasema atanipa mara 4 yake eeeeeeh nikasema nipo tayari aisee.
Akaniambia baada ya mwezi mmoja tuwasiliane ili nili report kazni nikasema poa.
Kweli baada ya mwezi mmoja mi nilimdanganya yule mkurugenzi wa shule kwamba naenda interview mkoani akaniomba nisiende nibaki tu tufanye kaz kama ni salary ataongeza nikamwambia ngoja tu niende tarudi kishingo upande akakubali nikaenda huko kwa bosi mzungu.
Nilianza kazi vzuri sana kama ofisa wa ofisi yaani nilikuwa kama HR pale ofisini.
Baada ya miezi miwili kilichoanza kunikuta stasahau kabisa kuna watu wana roho mbaya sana hapa duniani.....

NITAENDELEA...
 
Kwa huyo mwanamke ulijichanganya sana.
Ukiona mtu anafikia hatua ya kukunyima chakula wakati anacho, hutakiwa hata kuwa karibu nae.
 
Genre of Literature: fiction writer Choosen85
 
Poor fiction writer; i.e Misuse of puntuation marks, no paragraph e.t.c
 
Kama ipo huko niliko copy lete hapa nitaomba radhi kbs na kufuta kila kitu najiamin nasimulia my really life niliyoptia
Nashukuru kwa kuniita mkund hata kwetu mpo kama nyie 100 kipi sjaskia...
Ila najiuliza ilikuaje mwanamke ni mwalimu kaajiriwa halafu hali ikawa hivyo au alikuwa anajitolea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…