Kisa: Nilivyowahi maishani

Mungu wangu
 
Mambo mengine kujitakia tu...
Gaza unalala kwenye mkeka nguvu ya kukulana na mwanamke unatoa wapi?
Baadae wanawake zenu wakiliwa mnaanza walaumu nyambaf
Acha kukurupuka kipindi hicho kitanda killikuwepo tyr halafu punguza ujuaji watu wanatombe.wa na wana kila kitu wanatoa mpk magari na bado wanatombe.wa sjui kama unalijua hilo.
 
Acha kukurupuka kipindi hicho kitanda killikuwepo tyr halafu punguza ujuaji watu wanatombe.wa na wana kila kitu wanatoa mpk magari na bado wanatombe.wa sjui kama unalijua hilo.
Ulitaka kusikia Pole Blah blah blah?
aliyesema amerudi nyumbani bila chakula ni nani?
Udhaifu Mkubwa sana Kuanzisha familia kisha ukailaza njaa
Sio mbaya lakini kwani kuna aina ya wazazi fulani huzalisha nakala zao
Hili linathibitishwa na pale simulizi lilianzia kwa aliyekufukuza nyumbani ambaye naye alikua dhaifu sana mpaka akamtumia mwanamke kukung'oa hapo kwenu


Kwa kifupi umerithi upumbavu
 
NAENDELEA PARTY 3

NATELEKEZEWA MTOTO MCHANGA WA MIEZI 2.

Aisee siku usku nilirudi na unga wa ngano na mafuta na sukari nikiwa na lengo la kutengeneza maandazi ili angalau cha kutafuna kiwepo home hata kama mwanamke ataamua kupka kivyake bs na mimi niwe na cha kujishikiza.
Nilifika home saa 5 usku nikawasha jiko, nikakanda unga bahati nzuri mwanamke naye akaamka akawa ananisemesha hapo namjibu vzuri ukzngatia pia mi ni mkimya sn skuwa na ugonvi naye wala.
Huku nachoma maandaz yangu mdogo mdogo mpka namaliza yeye kalala, kumekucha akajiandaa kwenda kazn kwake na alikuwa anaondoka na mtoto anamuacha kwa mama ake mdogo, nikiwa ndani na mtoto naona kimya mtu harudi ndani.
Kumbe ameshasepa katoroka mtoto ana miezi 2 tu mara mchana huo mtoto analia njaa hatari sn nikapata wazo nimkorogee uji mwepesi sn nimnyweshe yes nikafanya hivyo kwa tahadhari sn kakanywa kakalala mara jioni hii mara usku huu sioni mtu kurudi home.
Nikakapa tena uji kakanywa kakalala kesho asubuhi kimya sioni mtu nikaenda kutoa taarifa polisi na nikamwambia na mama yake kuptia simu, bs sku ya pili tena kimya nipo na kichanga nalala njaa nashinda njaa ndani kuna viunga ndo natumia kudanganyishia mtoto siwezi vitumia mm.
Siku ya 3 mchana napigiwa simu namba mpya na mtu aliyejitambulisha ni polisi kwamba nashitakiwa na mdada mmoja akamtaja majina ni yule demu wangu nashitakiwa eti nimempga wakati skumpga na usku tulilala vema tu tena kwa amani.
Nikamjbu polisi mi kuja huko haina shida ila shida huyo mdada kaniachia mtoto wa miezi 2 natokaje sasa kuja huko, nikasikia wanamfokea kwann kaacha mtoto mchanga simu ikakatwa.
Usku wa siku hiyo alirudi kwa kuletwa na mama mchungaji wake na mama mwngn usku wa saa saba nagongewa mlango hapo mtoto ana sku 3 hanyonyi..
Wakanisihi niwe mpole tu kwani wameshamkea mi nilinyamaza tu akaingia ndani ananuka majasho hatari sjui huko alikuwa haoigi.
Kesho yake namuhoji ulienda wp akadai aliamua kuondoka na kupanga chumba kuanza maisha yake yaani anaongeaongea tu ujinga wakati vitu vyake vyote aliacha home nilipo.

ITAENDELEA...
 
Sawa nashukuru sn
 
Nimesikia maumivu moyoni
 
Makasiriko ya nini tena?unapitia nyakati ngumu maishani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…