Nimeipenda sana! Nachomshauri ajitahidi kuvunja laana za ukoo wa babaye, kama kweli alifanya hilo jambo, linaweza kutafuna kizazi na kizazi ikiwemo yeye pia(mleta mada) kuna njia za kiroho haya mambo yanatokea, unajikuta umerithi ushenzi wa babako’.. ajinyofoe kabisa hapo! Aisee..!Seran pita hapa upate chochote kitu
Tunatofautiana uwezo wa kufikiria ....Uliposimama wewe ni sahihi kuwa na uono huo.....nafikiri somo la uzazi lingefanywa lazima mpaka makanisani na misikitiniHuo ndio uanaume hakukimbia jukumu halafu sio kujipanga yy sii shoga ni rijali
Aisee hii story ndio naiona leo na mpk naandika hii comment nipo oage ya nne sijui nini kiliendelea mbele,lkn ;imehisi hili jambo hakuna mwanamke hapo,hivi kweli mwanamke awe mwalimu wa secondary then maisha ya familia yawe kama haya anayohadithia jamaa duh sidhani aisee!Kwa huyo mwanamke ulijichanganya sana.
Ukiona mtu anafikia hatua ya kukunyima chakula wakati anacho, hutakiwa hata kuwa karibu nae.
Kisa kama hiki kilinifanya nimlombe mama mchungaji angalau nikapata amani.nako siku 1 mchungaji akaniita kwake akaniomba niwaazime kanisani shs 150,000 baada ya wiki 1 itarudi nikasema hiyo sawa nikampa nikitegemea ni waaminifu itarudi mfukoni nikabaki na elfu 40 tu, wakuu skulipwa pesa yangu yaani skurudishiwa mpaka kesho alooo.
At last nilichafuliwa sana na mchungaji kwa washirika maana niliamua kuachana na mambo ya kanisani kabisa maana niliona kumbe hata hawa wachungaji nao ni walewale nikaamua jifunza kufanya meditation tu siyo mambo ya dini tena.
mkuu kama hutojali fanya utupe kisa chako kidogo kuhusu huyo mchungaji.Kisa kama hiki kilinifanya nimlombe mama mchungaji angalau nikapata amani.
Unapenda visa😁mkuu kama hutojali fanya utupe kisa chako kidogo kuhusu huyo mchungaji.
Mzee Mamgungu upo. Naona umeamua kuliamsha dude.Tunasubiri natamani kujua kwamba kwa sasa maisha yako yako poa
Lakini huyo Binti kasema alikua Teaches na hajasema Alikua Mwalimu wa Serikali au BinafsiIla, hivi kuanzisha family (ngono zembe) wakati hali ngumu hivyo inatokeaje hii Kiongozi?
Huyo binti hata kutaka kuondoka ni ugumu wa maisha tuu, msoto huu uwe mwenyewe, ukileta wategemezi inakuwa balaa mara mbili elfu.
Mkuu ili swali hataki kujibuIla najiuliza ilikuaje mwanamke ni mwalimu kaajiriwa halafu hali ikawa hivyo au alikuwa anajitolea?