Kisa: Nilivyowahi maishani

Homeboy umepitia changamoto nyingi sana,lakini kwq upande wa pili kuna watu huenda wanajiona wanashida sana au wanapitia msoto mkali sana,kupitia wewe walau watafarijika na kujua kwamba hawapo peke yao,ni sehemu na changamoto ya maisha
 
Maisha yana mengi, ila mzazi kukufukuza sijawahi elewa ina maana gani?? Kwamba ndiyo utapambana sana au nn πŸ€”
Ukisoma vizuri sentensi yake utagundua chanzo ni mama yake wa kambo. Hakuna kosa kubwa wanaume wanafanya kama kuoa mwanamke mwingine na kumfanya awe msemaji au msimamizi wa mali, wakati kuna watoto wengine kawakuta hapo, lazima watoto wa kambo wateseke.
 
Huo ndio uanaume hakukimbia jukumu halafu sio kujipanga yy sii shoga ni rijali
 
Watu kama nyie kwenye jamii wapo..... mtu aamue kuleta story ya aliyoyapitia wewe ikuume ? Meza wembe. .... story ikikuboa usiwe unakuja kuisoma, simple....mpumbavu
wapi nimesema imeniuma? nimeandika my note, sijamlaumu nimefikikiria kosa liliazia wapi na wewe comment ikikuboa fanya uignore siyo kukurupuka kujibu pumba.

kidogo nisahau aisee, mpumbavu mwenyewe
 
Huyo mwanamke ni chaitwan japosijasoma....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…