Kisa: Nilivyowahi maishani

Nitag mkuu
 
Mkuu stendi gani ya mbezi ilihamishiwa makumbusho?? Au unamaanisha stendi ya Mwenge??
 
NAENDELEA PARTY 17

Toka siku hiyo ndo nikamjua mama yangu sasa ila hata skumjari kabisa na hata leo hii sina hisia za kwamba nina mama ingawa akipataga namba yangu ananitafuta na nampa chochote ila sasa simpi kwa kuskia ndani kwamba nampa mama hapana.
Nilipomaliza drs la 7 sasa aunt alinirudsha kwa mzee dsm huko ndiko nilienda kukutana na dada angu sasa naye tulikuwa hatujuani kbs.
Nilianza secondary nikiwa kwa mzee sjui hili wala lile aisee kumbe nyuma ya pazia wale ma aunt walikuwa wanapambana sn kuhakikisha yule mama aliyeolewa na mzee apate mtoto wa kiume maana alikuwa nao wa kike tu washafika wa3 na mzee umri ukawa tyr unamtupa mkono.
Lakini pia walikuwa wanapambana mimi pamoja na yule mdogo wangu wa mwisho wanatutenganisha na mzee haya nilikuja kuyajua tayari nishapgwa 3 bila.
Nilimaliza O level nikarud tena kwa aunt na kuendelea na A level kahama huko, sasa kuna kauli yule aunt alikuwa anaztoa kwa code sana hasa akiwa amekasrika bas yatamtoka maneno mazto bahati nzuri alikuwa ananijua vema kwamba huwa sjari kabisa na ikbdi sjibu hata akiuliza sjibu na siombagi msamaha kwa vyovyote vile hasa nikigundua sjakosea hata ulie wa machozi.
Kuna kauli aliwahi niambia kwamba nisjdanganye kwamba kuna sku tarudi kwa mzee halafu nimgombanishe mzee na yule mkewe tamjua yeye ni nani.....mmmh hiyo kauli mpaka leo imenikaa sana maana bnafs hata nilikuwa sina mawazo hayo kabisa.
Kumbe kulikuwa na kampeni inapgwa mimi nisiwe na nguvu kwa mzee au kwenye family na ikitokea nina nguvu bs lazma wanitoe home kwa mzee, wakuu mpaka uchawi ulifanyika wakishrikiana na yule mke wa mzee maana walikuwa wanamuimba sana kila kona kumbe ule wimbo wao una siri kubwa sana ambayo wengi hawakuijua mapema.

Nilihitimu A level na kurud dsm nikiwa najiamin nitafaulu maana hakika nilijua mkomboz wangu ni elimu natakiwa kufika university vingnevyo mbele ni Giza kubwa, nilirudi kwa mzee akanipokea vzr matokeo yakatoka nimepga 1.9 na nikafanya process za chuo nikapata udsm pspa alooo kumbe lile jambo halikuwafurahisha akina aunt wakajua kbs sasa huyu jamaa anapga hatua na atakuja kutawala family pale na atayajua yote tuliyomfanyia mama yake lakini pia yule mwanamke tuliyempa baba yake naye atapata taaabu sana maana jamaa hatovumilia.
Vita ikaanza chini kwa chini sasa kuhakikisha sitoboi kutawala family ile yaani pale kwa mzee...

TAENDELEA
Mjue nn kilijiri..
 
Duh hatari sana, tunasubiri muendelezo tafadhali...
 
Duh hatari sana, tunasubiri muendelezo tafadhali...
 
Ukiona una magumu kuna wenye zaidi ya yakwako. Ila kuna watu tulipewa wazazi ambao wakati mwingine unawaza labda ingekua bora kama ungekuwa yatima siku uliyozaliwa kuliko kuwa na wazazi fulani
We acha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…