unaweza kuteseka duniani na mbinguni ukachomwa moto!Pole sana Mkuu
Utaenda kula raha mbinguni
Huna imaniunaweza kuteseka duniani na mbinguni ukachomwa moto!
Msoto mi ulianza nimemaliza tu Six, home hakukaliki, huyooo naenda zangu Uhindini mtaa wa Bhojani kuosha magari au kufuta vioo.NILIAMUA KUFUNGUA BIASHARA YA KUCHOMA MAHINDI
Ulikua unazurula tu au uliomba kibarua hata cha kubeba mizigo kkoo
Na gari pia ya kutembelea nilikuhonga umesahau? 😹😹Hizo kazi kama hutitaki unaziona nyingi, ukianza kuzisaka huzipati. Miaka hiyo hapo Dar nilionaga kaz za usafi kwa makampuni nyepesi, na form six yng ilipigwa interview nikakosa. Watu kibao tulikuwepo hadi la saba failures.
Nikapata nafuu baada ya kumpata Lamomy ndo akawa ananihonga hela za kula