Kisa ni cha kweli sio hadithi pitia

Hadithi yako ni nzuri... Ushari wangu, hama mkoa
 
ungekuwa unampenda kwel huy mchaga wala ucngechepuka nakuombew uwakose wote mchaga na mtoto

Nampenda kweli.. Najiona mwenye hatia kila saa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
hukujua kama una mtu wako wakati unaanza mahusiano wanaume acheni tabia za kuwachezea wanawake
 
hahaha wengi wanafunzi humu kondakta muda atapata wap wa kuingia humu
 
Hapo subiri tu matokeo ya mtihani uliofanya na ujiandae kwa majibu yoyote yatakayotoka.
Wanaume inafika kipindi muwe na huruma na wanawake.
 
Na nyie wanawake noma kweli, ushaambiwa jamaa anawake nawe bado tu umo
Umeonaee Yani kuna wanawake wengine hawana akili umeshambiwa ana mtu kwa iyo yeye wa kuzugia. Kusoma hujui basi ata picha. Anaekupenda awezi kukwambia ivo. Polen wadada
 
Umeonaee Yani kuna wanawake wengine hawana akili umeshambiwa ana mtu kwa iyo yeye wa kuzugia. Kusoma hujui basi ata picha. Anaekupenda awezi kukwambia ivo. Polen wadada

Tatizo hawa ndugu zetu mwalimu wao kipofu
 
Una tatizo kubwa sana la kisarufi katika uandishi wako.
Hizo h na r unazichopeka sehemu ambazo hazitakiwi...
 
Nafahamu kwamba kuna thread ambazo ni hadithi za kutunga lakini zinazo shabihiana na matukio halisi katika maisha na ndio maana hutumia muda kidogo kuminyaminya button kuweka pia mawazo yangu usoni ili wanao niangalia kupitia maandishi watambue mi ni nani kimsimamo/kimawazo/kimzaha na nk. Hayo niliyo changia fanyia kazi, uchukue au uache!

kosa nimetenda ila kumwambia mchaga sio leo wala kesho..!! Nipe ushauri staki kumpoteza mchaga

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Siyo mitandao yote ya kijamii ina matabaka yote ya watu! Makondakta wengi wapo mitandaoni but face book! Maana haisumbui sana kujiuna na kuitumia.
 
Hapo subiri tu matokeo ya mtihani uliofanya na ujiandae kwa majibu yoyote yatakayotoka.
Wanaume inafika kipindi muwe na huruma na wanawake.

Aisee ni kweli hapa nimejifunza sana..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
hukujua kama una mtu wako wakati unaanza mahusiano wanaume acheni tabia za kuwachezea wanawake

Nimekuelewa..!! Ujawahi kuchepuka mkuu?? Kama hujawahi basi endelea hivyo hivyo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Bandu bandu humaliza gogo hapo lazma atakuaribia na mchaga akijua lazma akutemee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…