Kisa ni cha kweli sio hadithi pitia

Naomba maombi yako yasisikilizwe hata kidogo.. Staki kumkosa mchaga wangu na mtoto wangu tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tena nakuombea huyo mtoto asiwe wako
Iwe ni njemba nyingine ilipiga kisela ikaacha na mimba
 
Pole sana! Kazi unayo. Ila mimi nakushauri kama kweli una mtu na huna mpango naye usiendelee kula mzigo. Pia usiende kwao. Kwanza unaenda kwao kama nani! kama mkwee au nani! Ila kampatie huduma stahiki za mama mjamzito (na maanisha) matumizi ya lazima na baadaye kutoa matumizi ya mtoto.
Wito: baki njia kuu, michepuko siyo dili.
 
Sijisikii kukuonea huruma, ingawa huyo dada nae amenichefua atajilengeshaje kwako wakati ulimwambia una mtu? Na kwa nini wazo lake mbadala baada ya wewe kuonyesha kusuasua liwe kuchoropoa mimba?

Kutomwambia kwamba unampenda na hali unazini nae sio sababu ya kujifanya eti humpendi, mpaka mkapima HIV inaonyesha ni kwa kiwango gani mlikubaliana na matokeo ya ngono zembe.

Nadhani ni muda mwafaka kumwambia mchaga wako kwamba umeshavuna ulichopanda na akae kando nawe humfai hata kidogo.

Lea mimba, na jiandae kuwa baba, hizo ndo faida za michepuko zembe.
 
unacho kifanya kwa hao wanawake juA na ww unandugu wakike na unauzaz pia xa lingekua la nduguzo ungefanyaje

Mary mm nimeshajuta peke yangu nakuna kichwa hapa..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Yaani wakati wakata mauno huko wala hukushea na sisi hiyo mijiraha...

Ushavurugwa waja mbio kutusumbua eti tukupe ushauri...

Hivi wewe hujui kuwa dushelele ikiingia kwenye uke na ikatoa mbegu kuna uwezekano wa mimba kutokea??

Lea mimba hiyo na usije muharibia maisha huyo binti mwingine asiyejua hila zako...
 
Hapan mkuu we fanya ujanja mbn kuchepuka uliweza na sister hakujua? We nend kwao sema.we nd mweny mzigo rud naye mujin afanye yke ila mtt wako usimsahau

Mh mkuu unajua sio kazi rahisi any way ngoja nitalifikiria na hili..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Man...itabidi upoteze kimoja hapo..kati ya mtoto au mchaga.. You won't both, I assure you
 
hadithi nazo zilikuwaga visa vya kweli ujue, kwaio hata hii inaweza kuwa hadithi tu.
na hata hivyo mwezi wa tisa bado siku 6,,sikia bora tisa iliyopo, kuliko kumi nenda urudi.
 

Kweli mkuu kuna umuhimu sana wa kubaki njia kuu..!! Kwenda kwao kweli itakua hatari sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Man...itabidi upoteze kimoja hapo..kati ya mtoto au mchaga.. You won't both, I assure you

Hapo unaposema nipoteze kimoja yani ndo unanimaliza nguvu kabisa mkuu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

kosa nimetenda ila kumwambia mchaga sio leo wala kesho..!! Nipe ushauri staki kumpoteza mchaga

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
ungekuwa unampenda kwel huy mchaga wala ucngechepuka nakuombew uwakose wote mchaga na mtoto
 
Daah kwanza pole. Nahisi jiandae tu coz kuna kitu (mtu) kimoja lazima ukipoteze
 
Hivi kwann kila story zenu za kutunga lazima zihanze hoo! na soma chuo furani au hanasoma chuo furani. Kiukweli sijawai kuhona mtu hanajishusha. Kwamba kondakta wa daladala la mbagara ,fundi viatu ,muhuza mitumba karume ,mvubuwa mitaro kariakoo,dereva boda boda
Na nyingine nyingi tu kazi mbaya mnazohona nyie kuzitaja hutajishusha .hina baki stori hooo ! Niko ,bot,tra ,tpa . .mbona husemi nimesoma veta au niliferi form 4 nahizo kazi nilizozitaja hapo mwanzo.vijana tuhachane na sifa za kijinga .mdaa au kusubiri.
 
Daah kwanza pole. Nahisi jiandae tu coz kuna kitu (mtu) kimoja lazima ukipoteze

Acha umalaya michepuko sio dili, ulijidai njia kuu kuna foleni sasa pole yako unachepuka bila kuvaa hata viatu we noma.Kama mchepuko wako unakaa jiran na hapo kwako lazima mamaa akija ajue sasa jiandae kusuka ama kunyoa maana lazma kimojawapo kipotee hasa huyo demu wako maana atakuona huna uaminifu
 
Msubiri huyo mchumba wako aje then mwambie real stuation usimfiche halafu yeye ataamua kama muendelee naye atamlea mwanao au aachie ngaz mwenye mtoto aolewe... Hapo mtaelewana ila ukiacha aje kuyatoa mtaani itakukost ndugu yangu... Kuwa muwaz atakuelewa tu maadam anakupenda.
 

Mkuu banki, hiyo comment ni yangu ama??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…