Rudi nyumbani pika pilau kula...... utarudi mahabusu baada ya siku 3Habarini wanaJF,
Hivi unapokea simu unaitwa polisi unaelezwa mme/mke amekamatwa na yupo lokapu unawahi kujua msaada gani ili atoke unapofika kuuliza kosa lake unaambiwa kafumani na mme/mke wa mtu na wote wapo ndani
Hapo ni hatua gani muafaka na ya haraka unaweza kuchukua?
Huo uamuzi mtamu sana aiseeehii imetokea hapa polisi post mbande aisee sasa huyu jamaa mwenye mke na yule mwenye mume wamekubaliana kuwaacha ndani na wao wakajifidie kwanza mpaka watakapoona wameridhika watakuja kuona la kuamua tehtehteh