Huyu jamaa alisema ametubu na nyimbo zake zisipigwe kwenye media na sehemu nyingine, lakini mbona zinapigwa kila siku kwenye media mbalimbali? Au ilikuwa ni Kiki tu za kisanii?
Hizi dini ni mizigo tu hasa kwetu sisi waafrika yaani watu wamejazwa uoga mpaka wanashindwa kuishi maisha yao. Huu upuuzi ulioletwa na wazungu na waarabu umetuharibu Sana.