Kilichomfanya aache huu music sio taarab as taarab tunayoijua sisi...taarab ile ambayo ilipamba sherehe zenye adabu na staha, taarab zile zinazoalikwa kwenye dhifa za kitaifa kutumbuiza kwa hekima na hekima
Huyu kaamua kuachana na taarab hii ya kisasa na matendo yake mabaya huko kwenye hizo taarab za kileo na yale matusi aliyokuwa anaimba...mwisho wa siku nafsi yake imani yake vimemsuta amejikuta anakinzana navyo