G George ngarasoni Member Joined Jun 6, 2012 Posts 40 Reaction score 9 Apr 13, 2013 #1 Hatimae madenge anarud nyumban baada ya kumalza mthan ; BABA: mwanangu kweli utafaulu? MADENGE; ntafaulu baba ntapata mia ya mia. BABA; Kwnn? MADENGE; wakati naenda shule nlkuta bango lmeandkwa yesu ni jibu, hvyo majbu yote nkajaza YESU!.
Hatimae madenge anarud nyumban baada ya kumalza mthan ; BABA: mwanangu kweli utafaulu? MADENGE; ntafaulu baba ntapata mia ya mia. BABA; Kwnn? MADENGE; wakati naenda shule nlkuta bango lmeandkwa yesu ni jibu, hvyo majbu yote nkajaza YESU!.
Fred-el Suárez Member Joined Mar 21, 2012 Posts 20 Reaction score 14 Apr 13, 2013 #2 hahahaaaa........madenge amepinda haki ya nani
N NancyM JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 314 Reaction score 40 Apr 13, 2013 #3 Kabisaaa kapatia Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 408 Apr 13, 2013 #4 Yesu muweza wa yote thubutu
M mitutwe pazi Senior Member Joined Feb 16, 2013 Posts 150 Reaction score 28 Apr 13, 2013 #5 Si minyanjo hiyo itakayorudi Kwa hilo pepa..