DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,879
Baada ya kukutana kibahati mbaya kwenye whatsapp wakaanza kuchat.
MDADA: Una gari aina gani?
MKAKA: Mercedez Benz S Class.
MDADA: Wow hata kuchat na wewe najisikia raha.
MKAKA: Benz lenyewe si langu nimeazima kwa rafiki yangu leo asubuhi.
MDADA: Nikwambie tu mi nina boyfriend wangu.
MKAKA: Niliazima Benz maana gari langu BMW 7 Series ilikuwa service.
MDADA: Boyfriend mwenyewe tumeachana muda mrefu, siku hizi niko singo.
😀😀🙆🏻🙇🏽