Kisa cha John Sanga

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
191
Reaction score
413
John Sanga alikuwa ni mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua.... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

UNAHISI MZEE SANGA KAUMIA WAPIII !!! TAFAKARI YA BABU !!!!
 
Kila mtu ameumia kutokana na alichovutiwa nacho kupitia picha za John

Baba yake John aliumia baada ya kuvutiwa na picha ya mwanamke kwenye socket ya Umeme πŸ™Œ

Mwalimu naye ameumia baada ya kuvutiwa na noti ya shilingi 10,000 aliyoichora John πŸ€—

Huenda nami Babu yenu ningejikwaa kama hao wengine iwapo John angenichorea picha ya Kiko πŸ€ͺπŸ™Œ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…