The Don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,499 Reaction score 1,172 Jul 20, 2012 #1 Kichaa mmoja alipanda juu ya mti wa maembe,akiwa juu mara akajiachia na kudondoka chini,jamaa mmoja aliyemwona akamfata na kumuuliza kulikoni? Chizi akajibu; nahisi nimeiva,niokote kwa matumizi. Teh teh teh!
Kichaa mmoja alipanda juu ya mti wa maembe,akiwa juu mara akajiachia na kudondoka chini,jamaa mmoja aliyemwona akamfata na kumuuliza kulikoni? Chizi akajibu; nahisi nimeiva,niokote kwa matumizi. Teh teh teh!
Kiherehere JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,806 Reaction score 622 Jul 21, 2012 #2 hamna kitu hapa
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 Jul 21, 2012 #3 Hahahahahahahaha!
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Jul 21, 2012 #4 Chizi huyo?
salito JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 1,406 Reaction score 734 Jul 21, 2012 #5 huyu alikuwa na akili mpaka zimepitiliza....