Ndo tatizo la kuwashirikisha watoto kwenye mambo muhimu kuhusu binadanuUlimbukeni wa mitandao ni tatizo kwa wengi. Yaani askari anaona fahari kujigamba amepewa risasi 30 ili asambaratishe miguu au ubongo wa raia?
Inaonekana aliiva hadi kaungulia.Huyu hakuiva depo ndiyo maana anaongea huu ujinga .
UnciUncircumcised baboon
Hawa ndo wazalendo ck hiz utasikia soon kapandishwa cheo