PreGE2025 Kirungi ajitosa kuomba ridhaa ubunge jimbo la Ulanga

PreGE2025 Kirungi ajitosa kuomba ridhaa ubunge jimbo la Ulanga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Kirungi (kulia), leo Jumatatu Juni 30, 2025 amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya ubunge wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro.
Kirungi amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Ulanga, Josephine Mbezi.
1751285919075.jpeg
 
Back
Top Bottom