trafficante
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 179
- 78
Sioni tofauti ya lowasa na JK Ukiachilia mbali sintofahamu iliyopo, kwa maana ya uwezo wao wa kuongoza nchi kwa hiyo sizani kama kutakuwa na mabadilikoENDELEENI kuipigia kura CCM,na bado amazings nyingi sana to come.
VIVA UKAWA.
Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Aise kumbe hujui siasa zinaendaje yani lile tukio ni kwamba china inasapoti CCM NA ile ilikua kuwaonyesha wazungu wanao wasapoti chadema kua hii ngoma ya uchaguzi ni vita vya watu wawili mchina na mzungu
Akiwa Shinyanga Magufuli alisema gas wamekabidhiwa wachina watachimba kwa miaka 7 hivyo baada ya hiyo miaka ndio itaanza kuwa ya kwetu.Gas ya Mtwara so ipo.
Kama haitatosha tuna uranium Dodoma hakuna shida.
Ndugu kwahakika hatuna fedha hizo,wewe angalia tu Bajeti yetu ilivyotegemezi hata hivyo haitutoshi,je unafikiria tutapata wapi fedha hizo za ujenzi kwa mara moja bila kuathiri mipango yetu ambayo hata hivyo kuitekeleza ni chini ya 50%?Tutaendelea kukopa kwa njia ya misaada na kuongeza deni letu la taifa,sijui tutatoka lini kwani hali yetu inazidi kuwa duni kila kukicha.Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Educated Tanzanian are not only found OVERSEAS bro!!! we are here in Tanzania supporting UKAWA to take the power,you stay where you are with your fellow dreaming for god to do every thing for you.
Jaana baada ya Ngerengere CDF karudi ofisini na anaendelea na kazi.Je kuna uwongo/uvumi mwingine baada ya hiyo jana.kama upo fanyeni haraka kabla ya J2...hatutaki uvumi uwongi na tetesi baada ya j2.
Sasa educated people kama wewe ambaye unamshabikia mwizi tukueleweje? Huna upeo unafikiri hizo peremende kila Mtanzania atalambalamba, grow up. You can be educated but still your behaviour be like a slave, the education I meant is more than what you think.
Gas ya Mtwara so ipo.
Kama haitatosha tuna uranium Dodoma hakuna shida.
china ni rafiki wa kweli.china ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi.mikopo ya china ina masharti nafuu kuliko nchi zilizoendelea.kuna ubaya gani kukopa kwa nchi rafiki ilioendelea kwa teknolojia ya hali ya juu.kama ndege mpya tumenunua toka kwao kwa nini wasitujengee uwanja
Ndugu kwahakika hatuna fedha hizo,wewe angalia tu Bajeti yetu ilivyotegemezi hata hivyo haitutoshi,je unafikiria tutapata wapi fedha hizo za ujenzi kwa mara moja bila kuathiri mipango yetu ambayo hata hivyo kuitekeleza ni chini ya 50%?Tutaendelea kukopa kwa njia ya misaada na kuongeza deni letu la taifa,sijui tutatoka lini kwani hali yetu inazidi kuwa duni kila kukicha.