ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Sifa za Kijinga Tu. Siku waswahili/binadamu wakianza kusema ameshirikiana na ZARI kumuua IVAN ili achukue mali au kudhulumu mali za hao watoto wala usishangaeKatika kuadhimisha siku ya kina Baba Duniani,Leo Diamond akiwa nchini South Africa Ameamua kuwafanyia Watoto wa Zari wote watatu Shopping Ya nguo katika moja Ya Mall za Gharama South Afrika
Hakika huo ndio uanamume sio wengine mke umemkuta anamimba ya Mwanaume mwingine unataka Hadi atoee.....!!!
wakupima akili wewe, sio bureNice Di, mie siyo mimba hata kidume kikimjaza shem wenu nachukua mtoto nalea, sitaniwi atiiiiiii.
Awe na kinyongo atawahi kufa bila sababuJamaa ameonekana hana kinyongo, kiroho safi kabisa anawafanyia shopping watoto wa Ivan, pengine atawaleta waishi nyumba moja