Kiroho safi: Diamond Platnumz akiwa na watoto wa Ivan wakifanya shopping

Sifa za Kijinga Tu. Siku waswahili/binadamu wakianza kusema ameshirikiana na ZARI kumuua IVAN ili achukue mali au kudhulumu mali za hao watoto wala usishangae
Mkuu mbona unawasingizia Waswahili kwanini usijitaje tu?
 
Sifa za Kijinga Tu. Siku waswahili/binadamu wakianza kusema ameshirikiana na ZARI kumuua IVAN ili achukue mali au kudhulumu mali za hao watoto wala usishangae
Hulka za kifa.la hizi kuendekeza maneno ya waswahili,tangu waanze kuongea wamempunguzia nini?
 
Sifa za Kijinga Tu. Siku waswahili/binadamu wakianza kusema ameshirikiana na ZARI kumuua IVAN ili achukue mali au kudhulumu mali za hao watoto wala usishangae
Nakupatia heshima ya juu kabisa ya kuwa "Mwenye Chuki Mkuu" wa Taifa.
 
Wanaume tumeumbwa mateso.
Aiseee kumbe mtu unaweza kuzeek kimchezo mchezo tu.Ama kweli dunia kitenesi toka watoto wawili unapigwa bonas unakua baba wa watano na una miaka 30?????? Sasa hivi mvi zitamtoka
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom