Kiroho safi: Diamond Platnumz akiwa na watoto wa Ivan wakifanya shopping

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,660
Katika kuadhimisha siku ya kina Baba Duniani,Leo Diamond akiwa nchini South Africa Ameamua kuwafanyia Watoto wa Zari wote watatu Shopping Ya nguo katika moja Ya Mall za Gharama South Afrika

Hakika huo ndio uanamume sio wengine mke umemkuta anamimba ya Mwanaume mwingine unataka Hadi atoee.....!!!

==============================================

Katika kuadhimisha siku ya kina Baba Duniani,Leo Diamond akiwa nchini South Africa Ameamua kuwafanyia Watoto wa Zari wote watatu Shopping Ya nguo katika moja Ya Mall za Gharama South Afrika

Hakika huo ndio uanamume sio wengine mke umemkuta anamimba ya Mwanaume mwingine unataka Hadi atoee.....!!!
Sifa za Kijinga Tu. Siku waswahili/binadamu wakianza kusema ameshirikiana na ZARI kumuua IVAN ili achukue mali au kudhulumu mali za hao watoto wala usishangae
 
Hao watoto wa ivan......wakiwa kidogo tu....wataizingua hii njemba....ngoja utoto uwatoke is just a matter of time
 
Nice Di, mie siyo mimba hata kidume kikimjaza shem wenu nachukua mtoto nalea, sitaniwi atiiiiiii.
 
Jamaa ameonekana hana kinyongo, kiroho safi kabisa anawafanyia shopping watoto wa Ivan, pengine atawaleta waishi nyumba moja

Angekuwa mshamba sana kama,angeonyesha mambo ya kiswahili.big up.

Uswahili wetu wa baba/mama wa kambo ni sababu ya umasikini na roho mbaya tu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom