Ila siku hizi kibongo bongo nahisi kama ile hadhi ya juu waliyokuwa nayo watu waliosomea sheria haipo tena.sijajua tatizo ni nini?.uwepo wa vyuo vingi vinavyo toa LL.B na kusababisha LL.B holders wengi mitaani?.ukosefu wa ajira?.citizen's awereness of some basic rights and the civic education taught by opposition party like CHADEMA throughout the country?. legal knowledge found in google via an easy access of internet?.kiukweli hawa jamaa miaka ya nyuma walikuwa juu sana.kuanzia muonekano wao na uwezo wa kuchambua mambo.what's wrong learned brothers and learned sisters?.
Huna cha kuchangia wewe bhana hizi idea ni very complicated kwako wewe mimi huwaga naishangaaga sana hii milayman
Mmmh!! Mkuu, hata kama wewe ni Mwanasheria Msomi lkn maandishi/majibu yako sio ya busara hata kidogo, kwani uko kihasira, ujinga na majivuno yasiyo na tija.
Hata hivyo, swali la mtoa mada ilikuwa ni kutaka kufahamu, kwanza, kirefu cha herufi LL.B na, pili, kufahamu maana ya herufi LL.B.
Zaidi, kutokana na hulka za wanaJF, wanataka kufahamu kwanini wanasheria, esp. advocates, and sometimes even judicial officers and the likes, wanajiita mawakili wasomi?
Majibu yenye vielelezo na kina ndiyo suluhisho na sio dharau.!!
Mind you, humu JF tunao watu wenye taaluma, vipaji, etc, vya kila aina (for instance, I'm a Lawyer, did 4 years at UDSM, working in a law firm in Dar); hence, be careful enough when you hit somebody's back.
Ni kweli mkuu wangu hawa jamaa siku hizi hawana thamani waliyokuwa nayo miaka ya nyuma labda wingi wa vyuo vinavyotoa LL.B ni sababu kubwa zaidi.Mfano Mzumbe,St Augutine,OUT,UDSM,Tumaini,MUCCoBS vyote hivi vinamwaga wanasheria wakutisha wakiachiwa huku mitaani maringo ya zamani yanatoweka kabisa.
hapo unatudanganya mkuu!!!wanazuoni wasomi ni wanasheria tu...si is like this educated vs learned other professional they are just educated but lawyers,advocates, magistrate and judges are learned(wasomi) means they are better than the person who are just educated
embu na wewe jibu hili swali!!Really? How are they better?
How is a lawyer better than a rocket scientist or nuclear physicist?
How is a magistrate better than a brain surgeon or cardiologist?
Acha ujinga wewe angalia vyuo vinavyotoa masomo ya uhasibu UDSM,IFM,ITA,TIA(DAR),TIA(SINGIDA),UDOM,MZUMBE,MUCCoBS,RUCo,IAA,SAUT,ARDHI,TUMAINI hivi vyote ni vyuo vya uhasibu
Mmmh!! Mkuu, hata kama wewe ni Mwanasheria Msomi lkn maandishi/majibu yako sio ya busara hata kidogo, kwani uko kihasira, ujinga na majivuno yasiyo na tija.
Hata hivyo, swali la mtoa mada ilikuwa ni kutaka kufahamu, kwanza, kirefu cha herufi LL.B na, pili, kufahamu maana ya herufi LL.B.
Zaidi, kutokana na hulka za wanaJF, wanataka kufahamu kwanini wanasheria, esp. advocates, and sometimes even judicial officers and the likes, wanajiita mawakili wasomi?
Majibu yenye vielelezo na kina ndiyo suluhisho na sio dharau.!!
Mind you, humu JF tunao watu wenye taaluma, vipaji, etc, vya kila aina (for instance, I'm a Lawyer, did 4 years at UDSM, working in a law firm in Dar); hence, be careful enough when you hit somebody's back.
in addition LL.B
Ni degree yenye heshima kuliko zote duniani
kwa matusi haya na wewe ni msomi??
Acha ujinga wewe angalia vyuo vinavyotoa masomo ya uhasibu UDSM,IFM,ITA,TIA(DAR),TIA(SINGIDA),UDOM,MZUMBE,MUCCoBS,RUCo,IAA,SAUT,ARDHI,TUMAINI hivi vyote ni vyuo vya uhasibu
Basi tuambie wewe kwann taaluma ya sheria imekuwa easy kiasi hiki siku hizi?
Mkuuu umejibu vizuri sana,umetulia,ukavuta pumzi,then ukamjibu..ndio maaana ya elimu, lazima uwe tofauti na waropokaji:thumbup:
Mkuu ODILI SAMALU JF ni sehemu tunayofanya majadiliano kwa ustaarabu ungeweza kukataa hoja zangu kwa kutumia lugha ya kistaarabu.Ni kweli vyuo ulivyovitaja vinatoa degree za uhasibu lakini pia karibu vyuo vyote vinatoa degree za sheria sasa tujiulize mahitaji ya wahasibu na wanasheria yakoje.Mfano compuny XYZ imeanzishwa shughuli kuu ni uzalishaji wa vioo kwaajili ya mahitaji ya ujenzi na matumizi ya magari.Kampuni hii itahitaji wanasheria wangapi na wahasibu wangapi ?,hakuna ubishi kampuni hii inaweza isiajiri mwanasheria kabisa lakini lazima itaajiri wahasibu kadhaa mfano Account payable controller,Account receivable,cost accountant,casher,chief accountant......mpaka hapo tuneshafikisha idadi ya watu 5 wakati kwa upande wa sheria labda watatumia mwanasheria wa nje kwa muda mchache sana.
Mfano mwingine chukua halmashauri yoyote labda Arusha au Kigoma utakuta ofisi ya sheria ina mwanasheria mmoja ukienda upande wa uhasibu utakuta kuna mweka hazina wa halmashauri,kuna mhasibu wa mishahara,kuna revenue accountant,expenditure accountant bado makarani kibao.Nenda shirika la umma kama TANESCO tembelea mkoa wowote unaopenda utakuta hakuna ofisi ya nwasheria level ya mkoa lakini ukienda idara ya uhasibu utakuta kuna mhasibu wa mapato,mhasibu wa matumizi,cashers kama wanne.....
Mkuu wangu ASIKARI ukweli ni kwamba mahitaji ya wanasheria katika taasisi mbali mbali ni madogo sana ukilinganisha na wingi wao unaosababishwa na wingi wa vyuo vinavyozalisha wataalamu wasekta ya sheria.
Kuna watu hata hamfahamu matumizi ya google. Muulize google ana majibu yote unayotaka kwanini imeitwa LL.B. na kwanini ina L moja ni neno lenye asili ya wapi. Ask google
kwa jinsi ulivotoa hoja hata mimi umeni-convice wewe ni mwanasheria!!!! sio kama hawa akina ODILI SAMALU...na hata kama huyu mtu ni mwanasheria basi mmevamiwa!!!