Wakuu nimekuwa nikiona hili neno hasa kwa wale wanao chukua degree katika sheria..likiwa ni jina na kitivo chao.
Swali langu ni juu ya kirefu cha LLB, na origin ya neno hilo.
Naomba msaada.
Katika Kilatini kama neno liko katika wingi linafupishwa kwa kuiandika hiyo herufi mara mbili. mfano LL inamaanisha Laws, pp ni ufupisho wa pages in Latin