Nilitoa tahadhari hapo juu
Haya mambo ya kupeleka watoto International School ndio hayo.
Watoto wanakuja nyumbani Na Home works zao kukupiga maswali yanayohusu maisha ya kawada,hatimae mzazi unaingia jamii forum kupata majibu.
Na kama unasema upo kwenye utafiti wa kitaaluma basi ndugu badili fani.Maana kama hayo huyajui na ni taaluma yako basi sema upo kwenye utafiti wa kawaida tu.Msiharibu taaluma za watu,alllaaaa
Nenda huko na kiingereza chako kibovu,na kama ni watafiti kama wewe kwa style hii ya utafiti wa maswali yako ya Nursery basi nchi kweli ikiwa na watafiti kama wewe basi itauzwa.I know you are deep in shallow for the remaining questions but the wiser assisted. Ungebaki kimyaaa na wenzio ningewaona wastaarabu kumbe ...... basi tu niwaheshimu kwa leo but next time swear to get ban for u!!!