Swali kama hili limetoka necta, Ila sijalifanya sio kwamba siwezi, Ila section ya mwisho ulikuwa unachagua maswali mawili kati ya matatu, mawili ya electronics na moja la current, yote yalikuwa mepesi, nimefanya yote mawili ya electronics.. asanteni jamii forum kwa kujitoa kwenu wakati nikihitaji msaada ninaahidi kufaulu physics either A au B