kipofu msikitini

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
jamaa mmoja alijifanya kipofu ili kuwashawishi waumini wampe misaada.Alikua akitembelea misikiti ya vijiji vya mbali ili kukwepa watu wanaomjua.
Bw.Ndutu aliweza kubaini janja ya kipofu.msikiti wa kwanza baada ya ibada kipofu akasima mbele waumini wakawa wanamchangia.Bw.Ndutu akaenda kwenye pesa akaweka 1000/ akaokota 5000/.Kipofu akaona chezo ila akauchuna.
Msikiti wa pili.Bw.Ndutu akaweka 5000/ kisha akachukua noti ya 10,000/.Kipofu roho ikamuuma ila akala bati wasijekumshtukia.
Msikiti wa tatu.kipofu aliposimama mbele kuomba msaada..baada ya noti kujaa..Bw.Ndutu akainuka kama kawa.
Kipofu akashndwa kuvumili.akamwoneshea kidole 'E bana Ndutu enh leo sitaki mchango wako,nimekuvumilia sana,mara ya kwanza umechukua buku5,juzi buku10 tusiharibiane kazi bwna''!
Waumini choka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom