Kipindi murua cha mimba hiki

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,087
Miezi miwili ijayo kliniki zitafurika wamama wajawazito! !ndimu na udongo vitapanda bei
 
mimi nimemnunulia mzigo wangu fuso la udongo na stauti ya malimao maana asije dai kila siku 20000
kila siku ya kununulia udongo
 
Kwahiyo vipindi vingine sio murua kwa mimba? Basi kuna mikoa baadhi yenye baridi ingekuwa inaongoza kwa wamama wajawazito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…