Kipindi cha skongaa


Jidu

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
1,179
Likes
322
Points
180
Jidu

Jidu

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
1,179 322 180
Nimekuwa nikifuatiala kwa makini juu ya kipindi hiki,hasa uelewa wa wanafunzi hasa kutoka shule za kata,kwani inaonekana uelewa wao ni wachini sana na hii inatokana na kutokuwa na walimu shuleni.wapi usawa wa elimu ndani ya nchi hii?je kuna haja ya kuwatahini hawa wanafunzi kweli au ni kuwaonea?tunatengeneza taifa la watu gani hapo baadae?naona hakuna haki ya watu wasiofundishwa kutahiniwa na waliofundishwa.niwakati kuwafikisha baraza la mitihani na wizara ya elimu mahakani.
 

Forum statistics

Threads 1,235,139
Members 474,353
Posts 29,213,115