Kipindi cha Reggea ITV.

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
1,225
Leo nilikuwa natazama kipindi cha reggae, ITV ila sikuvutiwa na mtangazaji wake.
Kwa mtazamo wangu, ningependa kiwe na mtangazaji anayeendana na kipindi, kama yule wa E.A TV a.k.a Baba T.
Yule wa leo hafanani kabisa na reggae, mtu mwenyewe kakaa ki bongo flavour zaidi, anaongea ki bongo flavour yaani kifupi haendani na reggae kama kina Christopher A. Warioba.
Kwahiyo nashauri eidha mtangazaji yule abadilishe utangazaji wake au abadilishwe kabisa.
Lengo langu si kuponda bali kuboresha ili kipindi kiwe na maana zaidi.
I hope wahusika watanielewa.
 
Top Bottom