Kipindi Cha Mzee Kikwete Pesa ilikuepo na Biashara Ilikua nchini, kwa sasa ni kuganga kulinda mtaji.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,033
Wakuu.
Kama kuna mfanyabiashara halali atanipinga aje hapa nitatoa maelezo zaidi juu ya hiyo hoja.
2005 hadi 2015 mambo yalikua mazuri sana biashara kila ulichogusa ilikua pesa.
Anzia kwenye mazao Ufuta, kahawa, soya, dengu, mahindi, muhogo mambo yalikua mazuri mipaka ilikua wazi na uhuru wa biashara ulikuepo na watu walipata pesa sana.
Kwa sasa uwe mwaminifu, ulipe kodi lakini bado hata uache kufanya magendo kwa sababu ya kodi zisizoeleweka hali bado ni tete.
Mwaloni Mwanza wacongoman hawaji kama enzi zile, hadi dagaa kuifikisha Tunduma imekua kama bangi hata ulipe kila kitu.
Ukweli ni kwamba ni kuganga kulinda mtaji Huyu mzee amalize kumi yake tuone ataefuata kama atatuacha huru na soko huria liwepo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Jakaya alikuza uchumi na kutengeneza matajiri wengi sana.
 
Amalize 10 kwa katiba gani? Amalize mi5 tufanye uchaguzi Membe na Lissu wampe za uso akatulie kwao chato.
 
Ok kwa ufupi father house yeye ni mkamuaji tu hajali afya ya mifugo yake
 
Back
Top Bottom