Kipindi cha mada moto leo: :Mgogoro ndani ya Chama cha ADC

Allyoki

JF-Expert Member
Mar 23, 2007
289
181
Leo ndani ya kipindi cha mada moto mwenyekiti wa adc said miraj na mwenyekiti wa bodi ya wadhamini watakuwa live na albert kilalah live on channel ten saa nne usiku wakiongelea mgogoro ndani ya chama cha ADC.
1453861117316.jpg
 
Back
Top Bottom