Ni kweli nimeona promo ya Dala Dala ikiruka ITV. Hii ina maana kipindi kile ni independent program sio mali ya TBC, hivyo ITV imewaruka dau TBC wakakinunua.
Angalizo: Usije ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa kipindi hicho kwa kufuatia uzoefu wa kile kipindi cha Kiti Moto ambacho kilianzia Chanel Ten, kikahamia ITV na huo ndio ukawa mwanzo wa mwisho wake!.